Chemsha bongo; Ipi ni njia sahihi zaidi ya kuning'iniza tissue paper?

Wickama

JF-Expert Member
Mar 8, 2009
1,466
1,195
Waungwana, toilet tissue papers hazikosekani kwenye vyoo vingi, na kazi yake inaeleweka. Kwenye picha hapa chini ni njia mbili rahisi ambazo hutumika kuzitundika kwa ajili ya kuitumia. Hii ni chemsha bongo; Unadhani ni ipi sahihi zaidi na kwanini?

tp-300x178.jpg
 
fig.2 ndo sahihi, fig. 1 imegusa ukuta wa toilet sidhani kama kiafya ni poa.
 
Fig 1 ndo sahihi itakuwa rahisi kuichana na kutumia. Fig2 ukiivuta pepa linaweza toka reeeefu na ikakupa ugumu kuchana
 
Back
Top Bottom