Chemsha Bongo from Crdb

cement

JF-Expert Member
May 5, 2012
581
218
crdb.jpg



[h=5]Hapa ni dirisha la kuweka na kutoa pesa katika benki ya CRDB nchini Burundi...kwa kutumia uzoefu wako wa kutembelea matawi ya benki ya CRDB hapa Tanzania tuambie maneno haya yana maana gani kwa Kiswahili[/h]
 
Hii si chemsha bongo .
Kwani wadau lugha ngeni ni chemsha bongoo?
 
Back
Top Bottom