Chemistry

kujibu hoja lazima maa Jamii sio yako wala ukoo wako, wee huna kazi kazi kushinda humu? Eti kushindana kujibishana na sisi mko wangapi? ikiwa mnasema kudandia treni nayi mnadandia nini ndege

Ni ya baba yangu ,tupo wengi kama nyie mlivyo wengiiiii,kudandia umedandia vigodoro babuuuuu
 
Mi hata sielewi kujibizana hapa kunatoka wapi.

Kuna uhuru wa mtu ku post kwa lugha anayochagua yeye as long as hatukani mtu.

Sasa nini kinaendelea hapa?

Hata mi simuelewi mwenye uzi kimyaa wala kiingreza hakina ubaya kuletwaa humu,lakin mi nikamuambia mtu mwingine mwenye uzi heeeeee yakadandiaa mengine kwa mbelee ndio uonapo hapaaaa
 
Likizo nzuri watu hadi wanaziomba wenyeweee halaf bila hata malipo uwiiii

aisee...! kuleni ujana kwa step wadau...! ndani ya wiki mbili tu watu watatu wame-RIP mbele yangu! hahahaaaa!!

tukananeni kisomi...! sio kwa kizaramo na kunyoosheana vidole..
 
aisee...! kuleni ujana kwa step wadau...! ndani ya wiki mbili tu watu watatu wame-RIP mbele yangu! hahahaaaa!!

tukananeni kisomi...! sio kwa kizaramo na kunyoosheana vidole..

Mmmhhhh kina nani hao wame RIP hebu ninong'oneze kuleee!!!!
 
Umeamka lakini??
malkia Eliza, katuletea tafrani... hoja imewekwa mezani, badala ya kujadili mada tunaanza kuponda lugha ilotumika coz hatujaelewa..lol
Wakati hatujashikiwa bunduki tusome!
 
We pia waweza kutafsiri.
Ni rahisi, copy kilichoandikwa, kisha paste hapa: Google Translate

Kumbuka ku'detect language as 'Swahili'

Me nimefanya hivo ikatafsiri hivi:
Wewe ni kweli inayotolewa kwa mtu. Kuanza tarehe na kemia kukua na nguvu na nguvu. Unaweza kuchukua mambo ya ngazi ya pili na inakuwa ya kipekee na kila kitu ni hunky dory, kosher, na faini na dandy. Kisha siku moja nje ya wazi bluu angani hujisikii kivutio hiyo tena. Ni gone. Ni kaput! Nini kilitokea? Je, ni kwa sababu siri ni gone na unajua sana juu ya mtu mapema mno? Au ni kwa sababu wewe uliumba baadhi ya kemia fantasy kwamba hana hata kuwepo katika ulimwengu wa kweli? Kwa nini mtu kupoteza mvuto kwa mpenzi wao kama hayo? Sababu ya hisia uhusiano kuvunjika ni nini? Ninyi wote ni kuwakaribisha kwa Chime in .... loool!!!
Umeona ee lakin yaliyotokeaa balaaa basi si ungetafsiri tu labda yasingetokea hayaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom