Chemistry ya Sakaya na Lipumba chanzo chake hiki hapa

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
23,363
55,184
Magdalena Sakaya,mbunge wa Jimbo la Kaliua, alifahamiana kwa ukaribu na profesa Lipumba mwaka 2005 mara banda ya uchaguzi mkuu. Mpk uchaguzi mkuu wa 2005 unakaribia Sakaya hakuwa hata na kadi ya chama cha CUF. Na wala alikuwa hajawahi kufika wala kuishi Jimbo la Kaliua (wakati huo Urambo Magharibi).

Sakaya amezaliwa, na kusomea elimu yake ya msingi na sekondari mkoa wa Kilimanjaro. Mwaka 2001 akahitimu Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine alikosomea masuala ya kilimo. Mpk mwaka 2005 alikuwa anafanya kazi zihusianazo na kilimo huko Wami Mbiki (rejea CV yake katika tovuti ya bunge). Ilikuwaje Magdalena Sakaya akateuliwa kuwa mbunge wa viti maalum kutokea mkoa asioufahamu na akiwa si mwanachama hai wa CUF ?
Ungana nami.....

Mwaka 2005 prof Ibrahimu Lipumba alikuwa ndiye mgombea urais kupitia chama cha CUF, na alipata kura milioni 1.36. Wakati wa michakato na harakati za kuwania nafasi hiyo, profesa huyu alipata uungwaji mkono mkubwa sana na wa kumtia moyo huko Jimbo la Urambo Magharibi (Kaliua), hasa ktk Kata ya Usinge.

Profesa Lipumba akaagiza viongozi wa CUF kupitia mgombea ubunge wa CUF ktk Jimbo hilo mwaka 2005 ndugu Kirungi A. Kirungi. Kuwa mchakato ufanywe wa kumpata mwanamama toka Kata ya Usinge ambaye atapewa nafasi ya ubunge viti maalum kama zawadi kwa uungwaji mkono aliyo upata toka Kata hiyo. Kata nyingine zilikuwa ni ngome ya ccm chini ya mgombea ubunge profesa Juma A. Kapuya. Ndugu Kirungi A. Kirungi kwa sasa hivi yuko ACT wazalendo na ni miongoni mwa wajumbe wa Kamati Kuu ya chama hiki waliochaguliwa na mkutano wa Zanzibar. Huyu ndiye aliyeanzisha hamasa za watu kujiunga CUF na ndiye aliyekiimarisha Jimboni humo. (Kwann alihama CUF na alihama lini? Siku nyingine).

Huyu Kirungi A. Kirungi alianzisha mchakato wa kumpata mwanamke toka Kata hiyo kama alivyoagizwa na bosi wake. Wakati huo ilikuwa ngumu sana kumpata mwanamke aliyejua kusoma na kuandika ambaye pia yuko tayari kujitokeza waziwazi kuingia upinzani. Wenyeviti wa ccm wa mashina na vijiji walikuwa miungu watu. Ukichanganya na uelewa mdogo wa wananchi wa huko Kirungi A. Kirungi akakwama kumpata mwanamama toka Kata ile.

Ndipo Kirungi A. Kirungi akakumbuka kuwa ana girl friend wake anaitwa Magdalena Sakaya yuko Wami Mbiki. Sakaya akapewa somo akaelewa kisha akasafiri hadi Kaliua kwa mara ya Kwanzaa na akapewa kadi ya CUF ambayo tarehe na mwaka vilirudishwa nyuma (2001) kisha akajaza fomu zao za chama na jina lake likapelekwa rasmi ngazi ya Taifa kwa michakato mingine. Sakaya akawa ameokota embe chini ya Mbuyu na safari yake ya siasa ikaanzia hapo.
Ndiyo maana Sakaya kuivuruga CUF haoni tabu kwakuwa hajawahi kupata tabu kufika hapo alipo. Maana baada ya hapo akaanza kupanda ngazi moja baada ya nyingine.

Mara baada ya kuukwaa ubunge Sakaya akawa karibu zaidi na profesa kimahusiano na akampiga chini Kirungi A. Kirungi aliyemtoa Wami Mbiki hadi mjengoni.

Sakaya na Lipumba hawajakutana barabarani.
 
Ndipo Kirungi A. Kirungi akakumbuka kuwa ana girl friend wake anaitwa Magdalena Sakaya yuko Wami Mbiki. Sakaya akapewa somo akaelewa kisha akasafiri hadi Kaliua kwa mara ya Kwanzaa na akapewa kadi ya CUF ambayo tarehe na mwaka vilirudishwa nyuma kisha akajaza fomu zao za chama na jina lake likapelekwa rasmi ngazi ya Taifa kwa michakato mingine. Sakaya akawa ameokota embe chini ya Mbuyu na safari yake ya siasa ikaanzia hapo.

Du balaa ndio maana wapo pamoja kuivuruga cuf
 
Ngoja ntarudi baadae
 
Magdalena Sakaya,mbunge wa Jimbo la Kaliua, alifahamiana kwa ukaribu na profesa Lipumba mwaka 2005 mara banda ya uchaguzi mkuu. Mpk uchaguzi mkuu wa 2005 unakaribia Sakaya hakuwa hata na kadi ya chama cha CUF. Na wala alikuwa hajawahi kufika wala kuishi Jimbo la Kaliua (wakati huo Urambo Magharibi).

Sakaya amezaliwa, na kusomea elimu yake ya msingi na sekondari mkoa wa Kilimanjaro. Mwaka 2001 akahitimu Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine alikosomea masuala ya kilimo. Mpk mwaka 2005 alikuwa anafanya kazi zihusianazo na kilimo huko Wami Mbiki (rejea CV yake katika tovuti ya bunge). Ilikuwaje Magdalena Sakaya akateuliwa kuwa mbunge wa viti maalum kutokea mkoa asioufahamu na akiwa si mwanachama hai wa CUF ?
Ungana nami.....

Mwaka 2005 prof Ibrahimu Lipumba alikuwa ndiye mgombea urais kupitia chama cha CUF, na alipata kura milioni 1.36. Wakati wa michakato na harakati za kuwania nafasi hiyo, profesa huyu alipata uungwaji mkono mkubwa sana na wa kumtia moyo huko Jimbo la Urambo Magharibi (Kaliua), hasa ktk Kata ya Usinge.

Profesa Lipumba akaagiza viongozi wa CUF kupitia mgombea ubunge wa CUF ktk Jimbo hilo mwaka 2005 ndugu Kirungi A. Kirungi. Kuwa mchakato ufanywe wa kumpata mwanamama toka Kata ya Usinge ambaye atapewa nafasi ya ubunge viti maalum kama zawadi kwa uungwaji mkono aliyo upata toka Kata hiyo. Kata nyingine zilikuwa ni ngome ya ccm chini ya mgombea ubunge profesa Juma A. Kapuya. Ndugu Kirungi A. Kirungi kwa sasa hivi yuko ACT wazalendo na ni miongoni mwa wajumbe wa Kamati Kuu ya chama hiki waliochaguliwa na mkutano wa Zanzibar. Huyu ndiye aliyeanzisha hamasa za watu kujiunga CUF na ndiye aliyekiimarisha Jimboni humo. (Kwann alihama CUF na alihama lini? Siku nyingine).

Huyu Kirungi A. Kirungi alianzisha mchakato wa kumpata mwanamke toka Kata hiyo kama alivyoagizwa na bosi wake. Wakati huo ilikuwa ngumu sana kumpata mwanamke aliyejua kusoma na kuandika ambaye pia yuko tayari kujitokeza waziwazi kuingia upinzani. Wenyeviti wa ccm wa mashina na vijiji walikuwa miungu watu. Ukichanganya na uelewa mdogo wa wananchi wa huko Kirungi A. Kirungi akakwama kumpata mwanamama toka Kata ile.

Ndipo Kirungi A. Kirungi akakumbuka kuwa ana girl friend wake anaitwa Magdalena Sakaya yuko Wami Mbiki. Sakaya akapewa somo akaelewa kisha akasafiri hadi Kaliua kwa mara ya Kwanzaa na akapewa kadi ya CUF ambayo tarehe na mwaka vilirudishwa nyuma (2001) kisha akajaza fomu zao za chama na jina lake likapelekwa rasmi ngazi ya Taifa kwa michakato mingine. Sakaya akawa ameokota embe chini ya Mbuyu na safari yake ya siasa ikaanzia hapo.
Ndiyo maana Sakaya kuivuruga CUF haoni tabu kwakuwa hajawahi kupata tabu kufika hapo alipo. Maana baada ya hapo akaanza kupanda ngazi moja baada ya nyingine.
Mara baada ya kuukwaa ubunge Sakaya akawa karibu zaidi na profesa kimahusiano na akampiga chini Kirungi A. Kirungi aliyemtoa Wami Mbiki hadi mjengoni.

Sakaya na Lipumba hawajakutana barabarani.
Hata Maalimu Seif alikaribishwa tu KamaHuru na akina Mzee Mapalala,baadaye akaja wapindua
 
Kwa dizaini hii hata ww watu wanaweza kukusingizia mengi,
Hahahaha!! Kwann mkuu? Habari za kiuchunguzi hizi mkuu. Ndiyo maana hakuna mchangiaji hata mmoja aliyethubutu kuupinga ubuyu huu kwa maelezo kinzani ya kiuchunguzi
 
Ni aibu sana mahusiano ya ndani ya gauni kufunuliwa namna hii , pole sana Kirungi kwa kunyang'anywa demu wako na Lipumba .
 
Back
Top Bottom