Chemicotex kuna nini?

Kyenju

JF-Expert Member
Jun 16, 2012
4,621
1,706
Niko njiani naelekea Tegeta kutokea maeneo ya Mwenge na mvua inanyesha maji yanatiririka sana mitaroni. Lakini nimeshangaa nilpofika maeneo ya CHEMICOTEX ni karibu na njia panda AFRIKANA kuna harufu mbaya kama vile kumefunguliwa maji machafu au vitu vilivyooza, watu wa mazingira jaribu kuangalia kuna nini.
 
Bila shaka wewe ni mgeni ! Umewahi kusikia sehemu inayoitwa KARIAKOO ?hizo harufu ni sehemu ya manukato pale shule ya uhuru .
 
Back
Top Bottom