Chembechembe za kinyesi cha mama huimarisha kinga ya mwili wa mtoto aliyezaliwa kwa njia ya kawaida endapo mtoto atazimeza katika purukushani ile

Marashi

JF-Expert Member
Apr 14, 2018
2,774
4,269
Jarida la The Economist limeeleza kwamba tafiti zimeonesha watoto wanaozaliwa kwa njia ya kawaida huwa na kinga imara zaidi ya watoto waliozaliwa kwa njia ya upasuaji.

Utafiti umebaini kwamba mtoto anapozaliwa kwa njia ya kawaida hukumbana na kinyesi cha mama wakati wa hekaheka za kuzaliwa na kupelekea kumeza baadhi ya chembechembe za kinyesi cha mama na hiyo humsaidia kuimarisha kinga ya mwili kutokana na bakteria za kinyesi cha mama.

Kupitia utafiti huo wataalam wameeleza kwamba hata walipojaribu kumlisha kinyesi cha mama mtoto aliyezaliwa kwa upasuaji bado kinga yake haikuimarika ukilinganisha na mtoto aliyejilia mwenyewe chembechembe za mavi 'labour'.

Jambo hili linaukweli kiasi gani au ni propaganda za mabeberu tuzipuuze?

20201019_222405.jpg
 
Wakikuhurumia sana watakuuliza wewe ulizaliwa kwa njia gani. Ila huu uzi unaweza kukusababishia ukala matusi japo umeweka facts na source.

Subiri.
 
We need to identify those bacteria and decipher the mode of their activation of the immune system of the newborn!
 
Jarida la The Economist limeeleza kwamba tafiti zimeonesha watoto wanaozaliwa kwa njia ya kawaida huwa na kinga imara zaidi ya watoto waliozaliwa kwa njia ya upasuaji....
DUUUH....KWA HIYO HAWA MAJINIAS WETU HUENDA WALIKULA KARIBU KIAS CHA KIKOMBE CHA KAHAWA HIVI...NDO MANA ZINACHAJI SANA EEEEH
 
Mmmhhh kwahiyo wakinamama wanaozaa kawaida lazima watoe haja kubwa? Si nilisikia wanaotoa haja kubwa mara nyingi wenye michezo ya sodoma?
 
Back
Top Bottom