Chembe ya moyo ni nini na hutokana na nini?

pia tumia asali often,japo itakutuliza tu,maji mengi, avoid stress za kuzidi,kushinda njaa,au kula kwa muda usiotabirika.
 
hello...wana jamvini.!! kuna huu ugonjwa unaitwa CHEMBE CHA MOYO. nimejaribu kuliza marafiki,ndugu na jamaa chanzo chake na jinsi ya kuutiibu.. wote wananipa njia za asili.
swali nililonalo, akuna njia za kisayansi za kutibu huu ugonjwa?? pia vitu gani vina sababisha??!.
naomba help...kuna friend wangu anasumbuliwa.
 
chembe ya moyo ni maumivu yanayosababishwa na vidonda vya tumbo au oeshophagus. Nenda hospita utapata matibabu.
 
hello...wana jamvini.!! kuna huu ugonjwa unaitwa CHEMBE CHA MOYO. nimejaribu kuliza marafiki,ndugu na jamaa chanzo chake na jinsi ya kuutiibu.. wote wananipa njia za asili.
swali nililonalo, akuna njia za kisayansi za kutibu huu ugonjwa?? pia vitu gani vina sababisha??!.
naomba help...kuna friend wangu anasumbuliwa.

Mkuu, "chembe ya moyo" ni maumizu ya sehemu ya juu ya tumbo (Epigastric pain) hiyo ni dalili ya magonjwa mbali yakiwemo ya kifua, moyo na tumbo. kwa watu wasio na elimu ya kitabibu wamekuwa wakifikiri kwamba ni ugonjwa unaojitegemea lakini sivyo. Ni sawa sawa na mtu anaekwambia kwamba anaumwa "homa" na akaenda kwa waganga wa kienyeji kutibu homa bila kujua ni ugonjwa upi unaleta hiyo homa.

Baadhi ya magonjwa yanayoambatana na chembe ya moyo (epigastric pain) ni haya hapa:
1. Magonjwa ya moyo (myocardial infarction etc.)
2. Vidonda vya tumbo (peptic ulcers)
3. varices
4. esophagitis
5. etc

Kwa maelezo google causes of "Epigastic pain" utaelimika zaidi

Kwa huyo mgonjwa wako mshauri aende hospitali apimwe ili aweze kubaini tatizo lake.
 
kwenye miaka ya 90s wakati nahangaika sana na ndoa yangu niliwahi kuupata huu ugonjwa,
nilihangaika sana hospitalini bila kupona. baadae nilikutana na mmasai aliyekuwa anauza dawa za mizizi,
nilimweze tatizo akawa amenipa kimzizi kamoja. nilienda kuchemsha na kunywa maji yake kweli nilipona kabisa
hadi leo sijawahi kusikia tena hilo tatizo. huwa nawaza sana ule mzizi ulikuwa wa mti gani najaribu kupata picha kuwa ilikuwa ni mzizi wa mti wa mlonge.
 
Mamndenyi, mmasai alitibu na ndoa? LOL!
Chembe ya moyo kwa haraka zaidi huwa inasababishwa na acid indigestion. Mie nilitumia omeprazole tabs for two months nikasahau hiyo habari. Nakushauri uende hosp kwa general physician, atakuangalia na kukushauri.
 
Last edited by a moderator:
Wadau hivi majuzi nilishikwa na kama kichomi fulani hapa juu ya tumbo yani katikati ya tumbo na kifua sikulala kabisa usiku wake.

Sikuwahi kutokewa na hali hii hiyo ndiyo ilikua mara ya kwanza.

Hata hivyo sikuweza kwenda hospitali kwa sababu nilikua na safari ya muhimu sana. Nilijaribu kuwauliza watu mbali mbali wakawa wananiambia ni chembe ya moyo lakini mimi sijui chochote kuhusu hiyo chembe ya moyo yenyewe.

Naombeni msaada wenu wadau.

nakubaliana kabisaaaaaaa na huyo Green gecko, with high freq. en cardiovascular deseas like aorta aneurysm, miocardic infart na magojwa ya digestive sistem ni peptic ulcers na esophagitis. so chek it out unacho umwa ni kitu gani kwan epigastric pain is just a symptome
 
chembe ya moyo ni sharp pain chini ya sternum (hapo mbavu zinapoishia kuungana na tumbo kuanzia,panabonyezeka).inasababishwa na acid indigestion,ni kama dalili za mwanzo za ulcers. lakini kama maumivu ni chini ya titi la kushoto maybe uonane na daktari,inaweza kuwa shida ya moyo (broken heart hahaha)

Japo kacheka, lakini ni serious case, mimi nilipata tabu sana kwa muda wa siku 3, nikilala sigeuki ikankuwa kama kuna kisu cha ncha kali ndali. Kutembea kwa mahesabu, But sikwenda kokote zaidi ya kumeza dichlofenac siku hizi inarudi mara 1- 1 tu
So nashukuru hata kwa jina tu nafuatilia sasa.
Thanks JF- THE GREAT THINKERS!!
 
mambo vipi waungwana mimi ninachembe ya kifua na ya tumboni nashindwa nifanyeje wapendwa naombeni mnisaidie dawa ya chembe ya moyo naumia jamani.
 
I love JF and I like it, kweli JF ni darasa tosha, nimejifunza sana juu ya chembe Moyo, sijawahi kuugua bt kuna ndugu yangu aliwahi kuumwa huo ugonjwa sikujua kama ni dalili ya kwanza ya vidonda vya tumbo.

Viva JF
 
Nina mdogo wangu anasumbuliwa na kitu ambacho nimeelezwa kuwa ni chembe ya moyo.Anajisikia kubanwa sehemu ya kifua kinapoishia na tumbo linapo anzia kushuka chini kwenye chembe ya moyo.sana sana sehemu hiyo huanza kubana pale anapo chelewa kula.ninaomba msaada wenu tafadhari.
 
Nina mdogo wangu anasumbuliwa na kitu ambacho nimeelezwa kuwa ni chembe ya moyo.Anajisikia kubanwa sehemu ya kifua kinapoishia na tumbo linapo anzia kushuka chini kwenye chembe ya moyo.sana sana sehemu hiyo huanza kubana pale anapo chelewa kula.ninaomba msaada wenu tafadhari.

Kitaalam hakuna ugonjwa wa chembe ya moyo, hivyo ni vidonda vya tumbo
 
inabidi mwende hosp. vigumu kujua kama ni tumbo au moyo, maelezo yako hayatoselezi na huyomdogo wako hajulikani umri wake!!!!h
 
Pole.Katakata kabichi na uile ikiwa mbichi angalau kwa siku mara 1 ndani ya 14 days(Healthy foods,Dr.Pamplona GD Pg 182)
 
dawa namba moja ni kutokuendekeza msongo wowote, wala mawazo, ajitahidi kuwa ni mtu mwenye furaha, kila mara acheke walau kutabasamu tu.
 
Back
Top Bottom