Chembe chembe nyeupe za damu ya ccm zimezeeka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chembe chembe nyeupe za damu ya ccm zimezeeka

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Igembe Nsabo, Apr 11, 2011.

 1. I

  Igembe Nsabo Member

  #1
  Apr 11, 2011
  Joined: Jun 4, 2010
  Messages: 87
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ndugu wana JF, nifananishe CCM na Mfumo wa ukuaaji wa wanadamu. Tuanzie na mfumo huo kuanzia Utoto, Ujana na Hadi Uzee, Mwili wa Binadamu hukuaa na kufikia UZEE ambao ndio UKOMO WAKE. Hata kama hakuna maladhi mwili wa binadamu hufika kikomo, Chembe chembe zake za damu hupungua kwa kufa zenyewe au kusangana zenyewe mpaka mwili wa mwanadamu kukosa kinga au kupungua kinga zake za mwili (Immunity systems). CCM nayo imezeeka na Chembe chembe za damu yake zimezeeka! na hata tukifanya haya mabadiliko hayana tija kwani kinga zake za mwili zimepungua zinasubiri ugonjwa uingie tu na Mwili UFE (Kiondolewe Madarakani).
  Muda wenyewe ndio huu na ungojwa tayari umeshaingia mwilini mwa CCM tunajitahidi tu kuupatia mwili dawa ili kurudisha kinga zake lakini haisaidii. Tusubiri mauti hivi karibuni.
   
Loading...