Chelsea vs Liverpool; Mamamkwe apiga sarakasi na taulo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chelsea vs Liverpool; Mamamkwe apiga sarakasi na taulo!

Discussion in 'Sports' started by MsandoAlberto, Feb 6, 2011.

 1. M

  MsandoAlberto JF-Expert Member

  #1
  Feb 6, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,019
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Haya!


  Sisi tulimpenda Torres, Chelsea wakampenda zaidi! Jina la bwana lihimidiwe!

  Sasa leo sijui ndio tusemeje! Najaribu kufikiria pale mama mkwe anapotoka chumbani nduki amefunga taulo halafu anapiga sarakasi! Chelsea hoyeee!

  Toka lini gari ikawa inamiss ukanunua tair mpya halafu unategemea ikimbie jamani!
   
Loading...