Masamila
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 6,411
- 7,306
Usajili wa Chelsea kwa dirisha la liliofungwa jana ni usajili bora sana na ni usajili ambao umeboresha makali ya squad
Forward hawa wanne (Pulisic, Ziyech, Lukaku na Werner) wanaipa Chelsea nafasi kubwa sana kuchukua Ubingwa wa EPL panapo 2022
Kusajiliwa kwa kiungo fundi Saul Niguez kunaipa Chelsea midfield bora zaidi katika EPL clubs zote (NB ni kwa maoni yangu) hasa wakiwepo viungo katika utatu wa Kante, Jorginho na Saul Niguez
Main point Arguably Chelsea sasa kutokana na usajili wa mwaka huu wana Forward kali kuliko club zote zinazoshiriki EPL na pia Chelsea wana Midfield bora kuliko Club zote zinazoshiriki ligi kuu ya EPL
Na hivyo Chelsea kwa mtazamo wangu na hoja zangu ndio atachukua Ubingwa wa ligi kuu ya EPL msimu huu unaoishia mwaka 2022