Chelsea ndio bingwa EPL 2021/2022

Masamila

JF-Expert Member
Jun 22, 2014
6,411
7,306
Usajili wa Chelsea kwa dirisha la liliofungwa jana ni usajili bora sana na ni usajili ambao umeboresha makali ya squad

Forward hawa wanne (Pulisic, Ziyech, Lukaku na Werner) wanaipa Chelsea nafasi kubwa sana kuchukua Ubingwa wa EPL panapo 2022

Kusajiliwa kwa kiungo fundi Saul Niguez kunaipa Chelsea midfield bora zaidi katika EPL clubs zote (NB ni kwa maoni yangu) hasa wakiwepo viungo katika utatu wa Kante, Jorginho na Saul Niguez

Main point Arguably Chelsea sasa kutokana na usajili wa mwaka huu wana Forward kali kuliko club zote zinazoshiriki EPL na pia Chelsea wana Midfield bora kuliko Club zote zinazoshiriki ligi kuu ya EPL

Na hivyo Chelsea kwa mtazamo wangu na hoja zangu ndio atachukua Ubingwa wa ligi kuu ya EPL msimu huu unaoishia mwaka 2022
 
London is blue color and all over the sky outwards are fulfilled with blue color.

What about the water bodies like oceans, lakes and rivers?

What about mountains?

The blue color is inevitable at every where all over the world.

Chelsea FC A.K.A The Blues is among the best team in the world, and am strongly proud of being the fan of that football club.
 
Mashabiki wa Arsenal hawana kabisa tofauti na wale raia walio amua kubakia Afghanstan chini ya utawala wa Wataliban, kwa mara nyingine tena.
wahamie psg wajifiche kwenye kivuli cha messi waiche EPL.kidogo
 
Thomas Tuchel’s Chelsea in the 2021/22 Premier League season:

9 games
7 wins
1 draw
1 defeat
23 goals scored
3 goals conceded
22 points
On top of the table

Muanzisha uzi utabiri wako unaendelea vyema bado game 10 tumalize nusu msimu hadi robo msimu maendeleo ni mazuri
 
Ubingwa upo Kati ya Chelsea ,Liverpool na Man City .

Kati ya hao watatu atakawapiga wakubwa wenzake kama liver,Chelsea ,man City , nje ndani anaweza kuwa bingwa ,Ila sitegemei hizo timu 3 kupoteza mechi kwa hawa wa chini
 
Hao wa chini una maana hata game ya leo unahisi liver Anapunguza gap la point kurudi ile ile moja?
 
Ubingwa upo Kati ya Chelsea ,Liverpool na Man City .

Kati ya hao watatu atakawapiga wakubwa wenzake kama liver,Chelsea ,man City , nje ndani anaweza kuwa bingwa ,Ila sitegemei hizo timu 3 kupoteza mechi kwa hawa wa chini

Swadakta kabisa

Point yako ni ya kweli sana maana mara nyingi anaefungaga wote ndio Bingwa
 
Ubingwa upo Kati ya Chelsea ,Liverpool na Man City .

Kati ya hao watatu atakawapiga wakubwa wenzake kama liver,Chelsea ,man City , nje ndani anaweza kuwa bingwa ,Ila sitegemei hizo timu 3 kupoteza mechi kwa hawa wa chini

Swadakta ingawa kiukweli mpira nilioutegemea na nilioutabiri ni mpira alioucheza msimu uliopita na sasa naona kama Tuchel kabadili namna ya uchezaji tofauti na msimu uliopita
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom