Chelsea ndio bingwa EPL 2021/2022

Masamila

JF-Expert Member
Jun 22, 2014
5,962
2,000
Usajili wa Chelsea kwa dirisha la liliofungwa jana ni usajili bora sana na ni usajili ambao umeboresha makali ya squad

Forward hawa wanne (Pulisic, Ziyech, Lukaku na Werner) wanaipa Chelsea nafasi kubwa sana kuchukua Ubingwa wa EPL panapo 2022

Kusajiliwa kwa kiungo fundi Saul Niguez kunaipa Chelsea midfield bora zaidi katika EPL clubs zote (NB ni kwa maoni yangu) hasa wakiwepo viungo katika utatu wa Kante, Jorginho na Saul Niguez

Main point Arguably Chelsea sasa kutokana na usajili wa mwaka huu wana Forward kali kuliko club zote zinazoshiriki EPL na pia Chelsea wana Midfield bora kuliko Club zote zinazoshiriki ligi kuu ya EPL

Na hivyo Chelsea kwa mtazamo wangu na hoja zangu ndio atachukua Ubingwa wa ligi kuu ya EPL msimu huu unaoishia mwaka 2022
 

Interlacustrine R

JF-Expert Member
Feb 1, 2021
695
1,000
London is blue color and all over the sky outwards are fulfilled with blue color.

What about the water bodies like oceans, lakes and rivers?

What about mountains?

The blue color is inevitable at every where all over the world.

Chelsea FC A.K.A The Blues is among the best team in the world, and am strongly proud of being the fan of that football club.
 

Mbaga III

JF-Expert Member
Jan 25, 2019
1,988
2,000
Mashabiki wa Arsenal hawana kabisa tofauti na wale raia walio amua kubakia Afghanstan chini ya utawala wa Wataliban, kwa mara nyingine tena.
wahamie psg wajifiche kwenye kivuli cha messi waiche EPL.kidogo
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom