Chelsea kumpa timu Frank Lampard ni sawa na kucheza kamari , uwezo wake ni wa mashaka

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,600
218,002
Huu ndio ukweli ninaoujua , na hili linachangiwa sana na Abramovic kutokulifahamu soka , na ndio maana aliweza kumwachia timu kocha wa ajabu Avram Grant.

Huwezi kuacha makocha wote bora wa dunia ukaja kuchagua mtu kwa style ya Bahatisha Ndulute .

Sisi yetu macho tu
 
Sema jamaa anapewa team wakati mgumu sana hana wachezaji kabisa ana viruka njia tu na haruhusiwi kusajili
 
Huu ndio ukweli ninaoujua , na hili linachangiwa sana na Abramovic kutokulifahamu soka , na ndio maana aliweza kumwachia timu kocha wa ajabu Avram Grant.

Huwezi kuacha makocha wote bora wa dunia ukaja kuchagua mtu kwa style ya Bahatisha Ndulute .

Sisi yetu macho tu
Lampard ni heri tukabaki hata na Sarri Masigara tu maana ana uwezo mdogo sana kukochi timu kubwa kama Chelsea
 
Nikweli ila kwa mpira wa sasa kocha akiweza kucontrol dressing room basi,na kwa mafanikio yake kama mchezaji anaweza kufanikiwa
 
Yaani wakuu kuna muda legendary akija kufundisha timu hupata mafanikio just imagine bench yupo Drogba kocha Lampard asee watakomaa wachezaji
 
kumbuka inshu ya sarri bado haijaisha mkuu, na istoshe derby bado wana nkataba na lampard
Nauona ugumu hapo.
Kama mfatiliaji mzuri, sarri ameshamalizana na juve, toka Jana , ni mambo ya makubaliano tu yamebaki pande zote mbili , ili atambukishwe, hii wiki haitapita sari atatambulishwa juve,na lamp chelsea
 
Kama mfatiliaji mzuri, sarri ameshamalizana na juve, toka Jana , ni mambo ya makubaliano tu yamebaki pande zote mbili , ili atambukishwe, hii wiki haitapita sari atatambulishwa juve,na lamp chelsea
Kama itatokea, tutarudi enzi za AVB
maana sioni maajabu ya lampard japo anaipenda timu.
 
Namuona Lampard anakuja kupata Mafanikio na Chelsea kama Alivofanikiwa Zidane Madrid
 
Back
Top Bottom