Bado naona tuna nafasi ya kushinda kipindi cha pili

Kipindi cha kwanza tumecheza ufyongo mkubwa sana. TT anajitahidi kuwaelekeza wapande Juu ila naona wachezaji mipira mingi wanarudisha nyuma, kipindi cha pili tutegemee mabadiliko makubwa katika uchezaji na kwa hakika Man city ategemee kupata shida.

Hongera sana kwa Rudigur hakika amejua kuitendea haki nafasi aliyopo leo. Alonso anampa mzigo mkubwa san dogo Sar kwan hayuko makini kbsa, Kova naye naona hayuko kimchezo kbsa. Ziyech ndo amepwpweta balaa. Tuiombee kipindi cha pili tuwashangaze watoto wa Kipara
Kipindi cha pili??? Next year au!
 
Lawama kwa kepa zinatoka wapi embu angalia saves alizofanya ndo useme
Ukiondoa save moja kubwa. Ile against Grealish. Kuna nyingine?

Okay hajapata threat za maana, timu ilikaa sana nyuma ili kifukia madhaifu yake na yale ya Sarr.

At least Christensen angekuwepo huenda angeweza kuanza badala ya Sarr.
 
Ukiondoa save moja kubwa. Ile against Grealish. Kuna nyingine?

Okay hajapata threat za maana, timu ilikaa sana nyuma ili kifukia madhaifu yake na yale ya Sarr.

At least Christensen angekuwepo huenda angeweza kuanza badala ya Sarr.
Kepa kafanya saves 4 Soo moja ..au wewe haujacheki mpira nini
 
Kuna maboya ya humu kila siku yanang'ang'ana kusema eti Kanye kashindikana EPL, emagine walitaka apewe kabisa Ballon😅.

Kante ni kiazi mmoja tu.
Cheki hii takataka ..tungeshinda ungesema Hivi? Kuna kiungo Kama Kanye dunia hii ya Sasa..?
 
Kepa kafanya saves 4 Soo moja ..au wewe haujacheki mpira nini
Niliongelea suala la timu kukaa nyuma kulinda madhaifu ya Kepa na Sarr. Uliielewa Logic yangu?

Kepa amekuwa exposed leo kana Mendy alivokuwa exposed kwenye game ya Liver?
 
Hii game TT ndio kaiuwa kwa mbinu zake... Yaani Chelsea wanacheza ktk ubora wa hali ya juu sn. Yaani kiwango cha juu mno na spirit ya upambanaji ya khali ya juu sn.


Hawa jamaa ni mabingwa aisee wa ulaya na EPL
Mkuu hahahahaha dah mabingwa wa ulaya na EPL mpo salama?
 
Niliongelea suala la timu kukaa nyuma kulinda madhaifu ya Kepa na Sarr. Uliielewa Logic yangu?

Kepa amekuwa exposed leo kana Mendy alivokuwa exposed kwenye game ya Liver?
Hatuna beki mkuu ..beki zote majeruhi wengine Wana Corona ..unaakutana na city ambaye amekamilika kila kitu ..unategemea kutumia mfumo gani ili kupata matokeo mbele ya city? Hata mwndy angekuwepo bado ngoma ingekuwa ngumu tu. Kepa kafanya saves za kutosha sema ndio hivyo tumepigwa
 
Jamani hakuna haja ya kufanya uchambuzi wowote!


Pongezi nyingi zimwendee kocha TT kwa ubora wake wa mbinu na kufanya sub za ukweli!


Chelsea kwa Mara ingine tena wameonyesha tabia za kuwa bingwa wa EPL kwa kuisumbua kabisa spurs...


Spurs walikuwa wazuri ktk first half lkn second half wamekiona cha moto.


Kudos nyingi sn kwa TT kwa kumrudisha tena ktk kiwango cha juu sn Marcos Alonso....


Chelsea wanatisha sn....


Who is next in EPL? Man City ajiandae.... Ngoja tumalizane kwanza na Aston Villa J5 ktk carabao cup then tuje tukutane na Man City siku ya jumamosi....
Hahahaha dah tabia za mabingwa
 
Nimeanza kuamini maneno ya Thomas Tuchel ya kwamba anataka kutengeneza timu ambayo hakuna timu itapenda kucheza na wao!


Yaani ni shida yaani ni shida....


Alafu nimemsikia Michael Owen akichambua mchezo wa leo kasema kwa uwazi kabisa kuwa Chelsea atakuwa Bingwa kutokana na ubora wao na wanavyocheza. Na kwamba ili timu iweze kuwafunga Chelsea lazima iwe na ubora kuwazidi wao...
vipi Title contenders mnaendeleaje
 
Nyie kenge wa blue ,tushawambia kaeni mbali na sisi z cityzen ...

Hamuwezi ki magoli ..

Hamuwezi kupiga ki corner ..

Hamtuwezi ki shots on Target ..

Hamtuwezi ki possession ..

Hamtuwezi dribbling ..

Hamtuwezi kwenye pressing ...

Nyie hamna tofauti na mbwa ,yaani ni underdog ...

Tukutane next season ....
Chelsea hatukuwa na bahati nzuri mwaka huu kwa kupatwa na majeruhi wa5 na wagonjwa wa COVID wachezaji 9.

We Man City huna majeruhi wala mchezaji yeyote aliyepatwa na COVID-19.

Ikumbukwe timu zingine zilikuwa zikipatwa na majanga hayo hayo ya COVID-19 hata kwa wachezaji watatu tu mechi zilikuwa zikihairishwa lakini Chelsea hakuna mechi ambayo hakuacha kuendelea nayo kucheza.

Man City mko vizuri mwaka huu ila pia mna upepo wa kutopatwa na majanga kama wale wachezaji watatu tu wa Liverpool walivyopatwa na COVID-19 Liverpool ilipoteana.

Chelsea FC tumewazidi Man City kubeba makombe ya UEFA mara 2, Super Cup 2 na EPL mara 6 ukiwa na akili timamu.

Head to head matches Chelsea wamekuzidi hata kwa kupigwa goli 8-0 kwa mechi 1

UEFA kwa City ni 0, EPL 5 kujitutumua kote huko ili uonekane ni timu kubwa kumbe ni kenge wa bluu tu.
 
Back
Top Bottom