Una akili mgando kijana...mount ni CM NA LUKAKU NI ST AU CF.hapo unawalinganishaje?
Unadandia gari kw mbele brother then unaita mawazo yangu mgando, nikumiminie ukalie ugali? ....... ungeuliza kwanza nimewaunganishaje, unaweza ukawa ww ndio una mawazo mavi, Sasa nikueleweshe ni kwamba watu wanawalalamikia akina Mount hawampi Lukaku pasi ndio mana hafungi,wanaficha uhalisia kua kile Kiloba tumepgwa. Mbona wakat Tammy Abraham alivyokua hafungi walikua wanamlaumu Tammy Abraham mwenyewe, walikua hawatup lawama kwingine.
 
SWALI:- Hivi wachezaji gani huwa wanaimbwa na mashabiki uwanjani Stanford bridge, wametungiwa wimbo spesho na mashabiki?

Sijawahi kusikia jina la mchezaji wetu likitajwa kwenye nyimbo za mashabiki.

Matukio ya Antony Taylor dhidi ya Chelsea na ni kwanini hafai kuchezesha mechi za Chelsea

  1. 2014 alimpa Fabregas kadi ya njano kwa kudive eneo la penalti wakati ni kweli Fab alifanyiwa rafu na kuinyima Chelsea penalti ya wazi- Baadaye aliomba msamaha ila haikuwa na msaada kwa Chelsea
  2. December 2019, kipa wa Spurs Gazzaniga alimfanyia uninja Alonso lakini Taylor alipotezea hiyo rafu ilitakiwa iwe penalti
  3. May 2017 Sanchez aliunawa mpira kabla ya kufunga na Taylor akaminya na Arsenal wakabeba FA
  4. February 2020 Maguire alimpiga mapumbu Batsuayi, Taylor akapotezea
  5. August 2020, Kovacic alifanyiwa rafu na Xhaka lakini Taylor alimpa kadi ya njano ya pili Kovacic na kumtoa nje kwa red card
  6. 28 Aug 2021, Taylor alimpa Reece James kadi nyekundu kwa kushika mpira
  7. Tarehe 16 October 2021 sijui Taylor atatulimia wapi???
taylor hanaga habari na sisi kabisa yan
 
Hakuna Cha ujiniasi hapo.Sema upepo umemwendea poa Epl.Mboa huo ujiniasi hakuonesha alivo kuwa BVB na PSG??? Kismatii tuu.Kama vile MTU wa Moshi anavyo pambania life Wakati yuko Moshi halisongi.Lakini anapo Toka na kwendaa MUsoma anasema yes alichelewa wapi.Ujiniasi Gani TT alio nao
ujiniasi ndo ulimpeleka psg
unafikiri psg wanachukua mazumbukuku
 
Kwa Maana hiyoo,Ilii Chelsea iweze kupata ushindi,Lazima connection na refa iwepo na si Kwa performance ya Timu na uwezo wa wachezaji.

Sidhani kama Taylor anaweza kufanya maamuzi yasiyo sahihi kama Chelsea ikiwa sahihi.NATURE HUWA HAIDANYI ,UTALIMA ULICHO PANDA.NA UTAKULA KUTOKANA NA UREFU WA KAMBA YAKO INAPOISHIA.
unamkumbuka howard webb
na vimbwanga vyake? ndo kama
huyu taylor sasa
 
Hakuna Cha ujiniasi hapo.Sema upepo umemwendea poa Epl.Mboa huo ujiniasi hakuonesha alivo kuwa BVB na PSG??? Kismatii tuu.Kama vile MTU wa Moshi anavyo pambania life Wakati yuko Moshi halisongi.Lakini anapo Toka na kwendaa MUsoma anasema yes alichelewa wapi.Ujiniasi Gani TT alio nao
Kwahy kiutani utani tuu ndani ya nusu msimu amebeba super league, UCL, kocha bora na timu imepata kipa, kiungo na mchezaj bora.?
 
Kwahy kiutani utani tuu ndani ya nusu msimu amebeba super league, UCL, kocha bora na timu imepata kipa, kiungo na mchezaj bora.?
Ndo Maana yake.Kwa Sababu kama angekuwa jiniasi.Hayo angeyaonesha kabla ya kutua Chelsea.Ndo mana Nikasema ni upepoo TU ,umemwendea vizuri epl.
 
Kwa Maana hiyoo,Ilii Chelsea iweze kupata ushindi,Lazima connection na refa iwepo na si Kwa performance ya Timu na uwezo wa wachezaji.

Sidhani kama Taylor anaweza kufanya maamuzi yasiyo sahihi kama Chelsea ikiwa sahihi.NATURE HUWA HAIDANYI ,UTALIMA ULICHO PANDA.NA UTAKULA KUTOKANA NA UREFU WA KAMBA YAKO INAPOISHIA.
Out of Context!!
 
Ndo Maana yake.Kwa Sababu kama angekuwa jiniasi.Hayo angeyaonesha kabla ya kutua Chelsea.Ndo mana Nikasema ni upepoo TU ,umemwendea vizuri epl.
Mervin PSG pamoja na kusajili majina makubwa hawakuwahi kuvuka hatua ya robo fainal ya Uefa lakini baada ya ujio wa Tuchel ameifikisha PSG Fainal ya Uefa na kama kusingekuwa na utoto wa Mbappe na Neymay pale mbele wangeshinda walikosa magoal Sana UEFA.
 
Back
Top Bottom