Msimu huu Zimeshachezwa game km 7 hv.....kabla ya kukukojolea uefa tulicheza na real Madrid nusu final...mount hakufunga? Acha kucopy mihabari bila kufanyia uchanganuzi
Hujui kusoma wewe jamaa ,mbona unakaza kichwa hivyo

Rudi usome comment yangu ,unajua international game alizocheza +uefa + epl
 
Mpira ni kama vita
Adui akija na mbinu ambayo wewe hujui na wala hukuitegemea na kuiwekea counteract strategy unashindwa kirahisi
Jana city walikuwa 30 uwanjani ukiondoa kipa na sisi tulikuwa 10 ukiondoa kipa
Mchezaji wetu akishika mpira wako watatu wa city mara moja. na hata baada ya HT TT kashindwa kulitegua hilo
Hope haitajirudia kama kweli Chelsea ina nia ya kufukuzana kwenye ubingwa mpaka tone la mwisho
 
Kuja kufungwa na CITY lilishaonekana kabla mechi mbili au tatu nyuma, tunacheza vibaya 1st half na second half mbinu za mwalimu zinatuokoa.

CITY sio spurs wala Aston villa, kwamba ukifanya makosa mengi na bado unashinda. Jana CITY walistahili kushinda.

Kufungwa ni sehemu ya mchezo, hapo tulipoanguka, tunyanyuke, tujifute vumbi na tusonge mbele aggressively.

Ila ile safu yetu ya ushambuliaji kule mbele Kai, Mount, Ziyech, Odoi, Werner, Pulisic hainipi matumaini.
Ukiondoa Timo na pulisc wengine wote wachoyo kwa lukaku
 
Bado tuko vizuri

Mimi naamini Chelsea bado ina consistency nzuri kuliko city
hii mechi ya jana city walitukamia
Hawataweza kucheza hivi mfululizo
ndani ya mechi tano zijazo tutakuwa tumewaacha mbali kwa pts
Kinachotakiwa tu kocha aturudishie form nzuri ya mount, ziyech, odoi,
Na pia kocha awawezeshe hao forwards waache uchoyo, tizi kubwa iwe ni namna ya kumuhudumia Lukaku kule mbele. Bila huduma Lukaku hawezi kucheza ndio maana hana ball possession nzuri mara nyingi anapoteza. Ila akihudumiwa vizuri yuko very clinical pengine kuliko strikers wote wa EPL
 
Kwa uchezaji wenu wa kukaa nyuma na kuvizia counter attack ,this is epl ,Kama city hatacheza hivyo mfululizo vip Chelsea yeye ataweza kuwa kwenye form mfululizo ?, Mfumo wenu wa kujilinda ndio utawafanya msifungwe goli nyingi ila mtakuwa mnafugwa tu na kuachia point 3....

TT ni morihno aliyechangamka ,akiendelea hivyo ,wanamtafutia njia za kumfungua ...

Keep watching ,mtakuwa mnapanuliwa tu ,hakuna namna
 
Mtu asiwadanganye
Hakuna timu dhaifu kihivyo EPL ya mwaka huu, usipojiandaa vizuri unaweza kunywa magoli kirahisi
Wee ukiangalia pamoaj na mighty playing ya Liverpool lakini kabugizwa 3 na majirani zetu wa West London, Brentford FC
 
Bado tuko vizuri

Mimi naamini Chelsea bado ina consistency nzuri kuliko city
hii mechi ya jana city walitukamia
Hawataweza kucheza hivi mfululizo
ndani ya mechi tano zijazo tutakuwa tumewaacha mbali kwa pts
Kinachotakiwa tu kocha aturudishie form nzuri ya mount, ziyech, odoi,
Na pia kocha awawezeshe hao forwards waache uchoyo, tizi kubwa iwe ni namna ya kumuhudumia Lukaku kule mbele. Bila huduma Lukaku hawezi kucheza ndio maana hana ball possession nzuri mara nyingi anapoteza. Ila akihudumiwa vizuri yuko very clinical pengine kuliko strikers wote wa EPL
 
Hazard
Willan
Pedro
Odoi

Vs

Ziyech
Pulisic
Odoi.

Kai ni false No.9, kumchezesha pembeni ni kucheza pungufu. Kai sio mchezaji wa kasi, nguvu na chenga kutoka pembeni kukatiza kulia au kushoto kuingia golini na kufunga/Assist

Pulisic kila siku yupo kitandani, tangu atue darajani 2019 hajawahi kucheza full mechi zaidi ya mechi 13 za EPL kwa msimu

EPL ni mbio ndefu jamani, tunamuhitaji Pulisic angalau acheze mechi 28 au 30 za ligi. Sioni Pulisic akifanya hilo.

Labda FA wapitishe sheria itakayomlinda Pulisic akiwa na mpira asichezewe rafu za miguu bali asukumwe kwa mikono

Wakati Ziyech kiwango kimeshuka kwa sasa, Pulisic ndio angeziba pengo, ila ndio huyo yupo kitandani muda wote.

Mount bwana mdogo, timu kubwa kama The BLUES kumtegemea dogo atubebe ni AIBU.

Dogo AMECHOKA sana ametumika mechi mfululizo tangu enzi la Lampard panga pangua, Achwe apumzike na kuendelea kujifunza.

Kai, Ziyech, Odoi, Mount mpaka sasa NO ASSIST TO Lukaku.

Tuchel afanyaje sasa apange viungo 3 (Jog, Kovacic, Kante) au awapange Ziyech, Kai pembeni tucheze pungufu?

Kwa sasa sioni ile safu ya ushambuliaji kule mbele ikitufungia magoli mengi bali namuona Lukaku kuanza kupata uhaba wa magoli.

Mimi naendelea kulia na usajili wa WINGERS Madrisha yajao ya usajili, tukipata Magoli 10+ na Assists 10+ kutoka kwa (LW + RW), itapendeza sana. Hapo LUKAKU lazima abebe Golden Boot
Kai sio false no 9 mkuu
Kai anaspeed nzuri tu, jaribu kuwa unaangalia

Msimu uliopita pengo letu kubwa lilikuwa ni mmaliziaji, na kwa wachezaj hawa hawa tulikuwa tunacreate chance nyingi ila mmaliziaji alikosekana na naamini hata msimu wachezaj wale wale watacreate chance nyingi

Halaf ukija kuangalia
Kai + ziyech huko walipotoka wametoka 10+ goals n Assist,
 
Nakubali tumefungwa. Kufungwa na Gardiola ni kawaida. Gardiola ni kocha mzuri duniani pia kumfunga kocha mwenye ubora mara nne si jambo jepesi. Naamini next tunashinda kama kawaida yetu.

Mpira ni mbinu kila timu inaingia uwanjani kutafuta point 3. Anaye shindwa mbinu unyanganywa point zote tatu wakiwa na mbinu sawa Wanagawana points.

So niwapongeze sity kwa ushindii na kuchukua points zote tatu. Tukutane Etihad second round.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom