Familiarly, the Blues lacked a focal point and cutting edge – although Timo Werner was unlucky to have a second goal wrongfully ruled out for offside – but that should all change if Romelu Lukaku signs from Inter Milan, as expected.

N'Golo Kante was particularly imperious for the hosts, dispossessing Lucas on the halfway line for Ziyech's first goal and tormenting Spurs' three-man midfield, particularly Dele Alli, who continued in a deeper role which does not appear to suit him.

Chelsea appeared to be continuing where they left off from last season, looking every inch like European champions, while Spurs looked like a side preparing for a Europa Conference League play-off against Pacos de Ferreira or Larne FC.

But the Blues’ dominance unsurprisingly slipped after Thomas Tuchel wrung the changes, introducing eight fringe players including David Zappacosta, Matt Miazga and Ibrahima Bakayoko and the COs
 
Arteta anamaliza juu ya Chelsea this season, na Emirates mnakufa nyingi tu
Ndugu ki team unacho shabikia kimeshindwa kuingia Europa conference league kule kuna team bora kuliko arsenal zikiwemo shamrok ,teuta ,BODO nk .Arsenal wameamua kuwa midtable team wewe kama mshabiki kubali maamuzi ya wamiliki wa Arsenal .
 
Aisee ni bora nishabikie Shamrok walau ina historia ya kueleweka kuliko kikundi cha wahuni kolichoanzishwa 2010.
 
Kilichotokea, Kantealiwakatia umeme Spurs kipin di cha kwanza wakashindwa kabisa kucheza pale katikati Moura na Dele Ali
TT alipofanya mabadiliko mkata umeme akatolewa umeme ukarudi Spurs wakona mwanga na kuanza kufunga magoli
Hata goli la kwanza la Ziyech ni matokeo ya umeme kukatwa na KAnte haraka haraka goli likafungwa
 
Hivi hatuwezi toa £150 kwa spurs watuachie Kane maana Kiroba ni Abraham aliyeshiba Bora tuwe wavumilivu na false 9 msimu ujao kuliko kutoa £100 kwa mchezaji asie jua hata kutuliza ]
 
Hivi hatuwezi toa £150 kwa spurs watuachie Kane maana Kiroba ni Abraham aliyeshiba Bora tuwe wavumilivu na false 9 msimu ujao kuliko kutoa £100 kwa mchezaji asie jua hata kutuliza ]
spurs hawawezi kuuza silaha Kwa local rivals wao NI heri wauze Kwa man u au city lkn sio Chelsea so ni gumu Hilo dili

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
  • Inter milan inaelekea wanakubali ofa ya Chelsea na Lukaku mwenye kashaiambia timu wasikatae ofa nzuri ya Chelsea
  • Mashabiki wa Inter wanaazisha maandamano hawataki Lukaku auzwe, Wanaiambia bodi isimamia ahadi zake
  • Inter wanatafuta replacement ambaye ni Zapata wa Atalanta
  • Atalanta wanamtaka Abraham na wamepanga kuleta bid siku chache zijazo
  • TT kwenye press conference ya jana amfagilia Lukaku
 
Hivi hatuwezi toa £150 kwa spurs watuachie Kane maana Kiroba ni Abraham aliyeshiba Bora tuwe wavumilivu na false 9 msimu ujao kuliko kutoa £100 kwa mchezaji asie jua hata kutuliza ]
Levy hawezi tuuzia hata kwa nini refer wakati wa modric
 
Wachezaji ambao wamechelewa kureport mazoezini watacheza mechi 2 za indoor na watafanya mazoezi double ili kuwafit kwa fainali ya super cup
 
Hivi ni mm tu ama kuna wengine? Yaani sijawahi vutiwa na Kane huwa naona ni mbabaishaji tu, straika ni Halaand, Lewandowski ama Toney.
Hivi hatuwezi toa £150 kwa spurs watuachie Kane maana Kiroba ni Abraham aliyeshiba Bora tuwe wavumilivu na false 9 msimu ujao kuliko kutoa £100 kwa mchezaji asie jua hata kutuliza ]
 
Hivi kati ya Spurs na Asenane yupi ni mpinzani hasa wa Chelsea?
Kiasili Wote wapinzani wetu wa kawaida wa London...Ila London imegawanyika Sisi tupo west London wao arsenane na spurs North London kwahyo wanaupinzani Sana kiupande wao..Chelsea wapinzani wetu sanasana wa asili kama sio QPR basi ni fulham au westham kama sikosei...

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Ila Spurs inaonekana ndio tuna chuki nao sana

Back
Top Bottom