We jamaa utakuwa unaendeshwa na mahaba kuliko facts hiv kweli Uingereza, Uholanzi na Sweden unaweza kuziweka kwenye level moja na ITALY, GERMAN, PORTUGAL na FRANCE?
Portugal na italy ni overrated ..


Uholanz na belgium hizi timu sio mchezao aiseee
 
1624265238459.png
 
We jamaa utakuwa unaendeshwa na mahaba kuliko facts hiv kweli Uingereza, Uholanzi na Sweden unaweza kuziweka kwenye level moja na ITALY, GERMAN, PORTUGAL na FRANCE?
Kati ya hizi timu zitafika fainali equally yaani kwa nafasi sawa au kama unabet kwa Odd zinzokaribiana
  1. Ubelgiji
  2. Ufaransa,
  3. Ujerumani,
  4. Uingereza,
  5. Uhispania
  6. Italy,
  7. Sweden
  8. Uholanzi

Tournament winner betting ideas -- Hiyo timu yako ya Itally hata haipo kwenye top 5 ya uwezekano wa kushinda kombe​

  • Belgium – 11/2
  • England – 11/2
  • France – 11/2
  • Spain – 15/2
  • Germany – 15/2
1624267753257.png

 
Kati ya hizi timu zitafika fainali equally yaani kwa nafasi sawa au kama unabet kwa Odd zinzokaribiana
  1. Ubelgiji
  2. Ufaransa,
  3. Ujerumani,
  4. Uingereza,
  5. Uhispania
  6. Italy,
  7. Sweden
  8. Uholanzi

Tournament winner betting ideas -- Hiyo timu yako ya Itally hata haipo kwenye top 5 ya uwezekano wa kushinda kombe​

  • Belgium – 11/2
  • England – 11/2
  • France – 11/2
  • Spain – 15/2
  • Germany – 15/2
View attachment 1825351
Aiseee spain ni takataka.
 
Kuelekea msimu ujao kwa maono yangu hawa ndio wachezaji tunaopaswa kusajili, ili kutetea ubingwa wa UEFA na kufukuzia ubingwa wa elp.

Tukianza na Straika, Ivan Toney (25) kutoka Brentford, Pedro Goncalves (22) kutoka Sporting na Andre Silva (25) kutoka Frankfurt. Hao Straika ni hatari sana na wanabalaa sana, kama ww ni mpenzi na mfuatiliaji wa mpira wa miguu basi utakuwa unakubaliana na mm ama kufahamu moto wao. Sasa katika hao watatu tuchukue mmoja ama wawili. Hapo sijamtaja Haaland maana usajili wake ni wa pesa ndefu sana.

Upande wa beki, Robert Atkinson (22) kutoka Oxford United, huyu dogo ata asipo pata nafasi ya kucheza lakin anafaa sana kusajiliwa ata kwa matumizi ya baadae. Dogo ni beki mzuri sana, tukimsajili huyu tunampelekea academy ili akapate uzoefu zaidi kisha atakuwa anapata nafasi moja moja kwenye timu kubwa. Jules Kounde (22) kutoka Sevilla, Achraf Hakimi (22) kutoka Inter na Alessandro Bastoni (22) kutoka Inter. Hizo beki ndio zinatufaa kabisa.

Kiungo mkabaji, Joshua Kimmich (26) kutoka Bayern Munchen, hapa bila kupepesa macho inabidi huyu mwamba tujilipue na tumsajili kama kweli tunataka ubingwa wa EPL na kutetea ubingwa wa UEFA. Uzuri wa Kimmich anacheza nafasi zaidi ya moja hivyo atatufaa sana hapa inabidi tujilipue kweli bila masikhara.

Hayo ndio maono yangu kuelekea msimu ujao, uchaguzi nilio ufanya kwanza nimelenga ubora kisha umri wa mchezaji.

NYUMBU na Ase8 ruksa kupeleka mapendekezo yangu kwenye bodi yenu maana nimewafanyia usikauti murua kabisa.

Papaa Gx.
Huyo Andre Silva kafeli AC Milan na Sevilla tusikurupuke na kusajili wachezaji one season wonder na kuwa laughing stock ...
 
City wamepeleka ofa spurs ya £100M + player kwa ajili ya kane

Kama city watakuwa wako serious na kane,naona mbio za haland ni sisi na hela tu ili tuwashawishi dortmund
 
Ufaransa, England, Sweden na Czech Republic wafuzu kwenda round ya timu 16 bora hata bila kumalizia mechi zao
Timu zinazofuzu nafasi ya kwanza na pili zitakuwa 10 kwa hiyo bado zitatakiwa timu 6 za nafasi ya tatu wenye matokeo mazuri zaidi kuziba pengo
Kwa mechi zilivyochezwa hadi sasa, timu zote zenye points 4 katika nafasi ya tatu zimeshapita. Kwa hiyo leo Ufaransa, England, Sweden na Czech Republic watacheza tu kutafuta mshindi wa 1 hadi 3 kwenye magroup yao
 
Mimi Adma Traore namkubali sana klwa vitu viwili
  1. Ana nguvu - kwa sasa kule mbele forward wetru wanategemea klasi na akili zaidi
  2. Anauwezo wa kukaa na mpira na kuserereka nao na kutoa krosi nzuri kama wing-back
  3. Ni Wingback mwenye mtizamo wa kufunga kila saa awapo uwanjani
 
Mimi hizi media zinaniboa sana
Mara utasikia
Chelsea identify Villarreal’s Gerard Moreno as alternative to Erling Haaland
 
Back
Top Bottom