Kounde wants Chelsea over Arsenal​

The Athletic report Sevilla star Jules Kounde would rather join Chelsea than Arsenal this summer.

Kounde is attracting plenty of interest ahead of this summer with Sevilla reportedly willing to accept slightly less than his release clause with a fee of around £55million doing the rounds.

The report claims Kounde wants to join a Champions League club and Arsenal, who are not even in the Europa League or Conference League, are likely to be ruled out as an option, even if they are interested.
 
Chelsea and others slapped with fine​

The Premier league's big six, who attempted to form a European Super League back in April, have all been hit with hefty fines.

The clubs have been slapped with an overall fine of just over £20million, which works out at around £3.5million per club, although it is not yet confirmed how it will be paid.

Chelsea, of course, were part of the plan and will be punished.
 
Hili deal la achraf hakim nimepitia mitandaoni wapo wanamkubal na wapo wanaomkataa
Wanaomkataa wanasema ni mchezaj wa system mmoja yani 343 /352 na hiyo bei yake ya 68M kwa mchezaj wa system moja ni kubwa na isitoshe chelsea makocha hawakai sana, na mpaka sasa hakuna anayejua formation Tuchel ataitumia msim ujao,
Je siku tukicheza na back four je achraf hakiim ataperform kama anavyoperform kwenye anapocheza rwb
Vipi kuhusu reece james na azplicueta, sawa tunaweza sema azp umri umeenda bt still ataendelea kucheza hata kama sio mechi zote bt zipo atakazocheza

Ngoja tuone kipi kitatokea
Sababu kuu ya jamaa kusajiliwa ni kuongeza depth squad cos Alzipicueta umri umeenda so hawezi kupata mechi nyingi kitachotokea ni james atapata nafasi kubwa kucheza back three au back four alafu hakim atacheza wingback
 
Tukimpata achraf hakim na tukapata cb mwingine hapo tutakuw na uhakika wa kutumia either back four or back three based na opponent tunaekutana nae
Uzuri wa reece james anaweza cheza rb vizuri
Na uzuri wa hakim anaweza cheza rwb vizuri

Endapo tukimsajili hakim, itabidi tuongeze wachezaj wengine watatu, cb,mid na cf
Endapo asiposajiliwa inabidi tusajili watatu cb,mid na cf

Hope marina atanegotiate hili deal la hakim vizuri
 
1623327048407.png
 
Chelsea are said to be 'confident' of pulling off a big-money deal for Erling Haaland despite a slew of setbacks.

The Blues declared their intentions to land the Borussia Dortmund superstar early on despite expected competition from the likes of Manchester City, United and other big clubs across Europe.

The Blues have been clear that they need a top striker this summer and reports claim Roman Abramovich is willing to provide £150m for new signings this summer.

In a post-pandemic market, Chelsea are one of the few clubs with that spending ability, and that might be why they are said to be 'confident' of pulling off a deal this summer, or at least according to former Middlesbrough striker turned Norwegian media man Jan Aage Fjortoft, who has delivered some exciting news.
Man u hawana pesa wana madeni wale kuku
 
Kai anaukubwa gani na wewe ,mbona unataka kumvimbisha kichwa
...

Hao madogo wa chelsea sijui kai ,werner ,mount bado sana ,mpaka waoneshe ubabe pale epl wachukue PL ndio tutaanza kudiscus ukubwa wao ...

Sio kagoli kamoja tu ka kubahatisha then unataka tumpe ukubwa ....
Hao wakubwa wako wanatikissa tu wowo watu umechukua UCL WE UNATAKA EPL UCHAFU NGOJA TUKUONESHE MWEZ W 8
 
Chelsea are said to be 'confident' of pulling off a big-money deal for Erling Haaland despite a slew of setbacks.

The Blues declared their intentions to land the Borussia Dortmund superstar early on despite expected competition from the likes of Manchester City, United and other big clubs across Europe.

The Blues have been clear that they need a top striker this summer and reports claim Roman Abramovich is willing to provide £150m for new signings this summer.

In a post-pandemic market, Chelsea are one of the few clubs with that spending ability, and that might be why they are said to be 'confident' of pulling off a deal this summer, or at least according to former Middlesbrough striker turned Norwegian media man Jan Aage Fjortoft, who has delivered some exciting news.
Hili deal ni gumu sana na jinsi tunavyofikiria, dortmund sidhan kama wako tayari kupoteza wachezaj wao wawili tegemeo katika dirisha moja
 
Hahahahaha we Jamaa mchimbachumvi Sana

Tulishswahi msajili Torres na Sheva kwa dau la kuvunja rekodi

Hela tunayo hatushindwi

Huna hadhi hata ya kuibishia Chelsea
Nyie level zenu ni kina kai ,werner .... wachezaji wa kwenye mafungu ya nyanya

Hamna uwezo wa kumsajili haaland ,never ever
 
Back
Top Bottom