Katika kitu nimejifunza ukimnunua mchezaji wa Chelsea na ukakutana fainali au mtoano na Chelsea huyo mchezaji usimpange.
Hazard wa madrid sio yule aliyekuwa chelsea na hiyo yote ni kutokana na majeruhi
Game ambazo kapeform madrid ni chache sana tena zinahisabika,
 
Match ya Chelsea Jana ni watu wanne walioipa ushindi
Silva, Rudiger, Kante na Kai
Kwa sasa chelsea wanakosa Finisher yule Timo ni kiungo zaidi kuliko mshambuliaji Jana angeanza giroud habari ingekuwa nyingine au chelsea wangekuwa na Aguero mechi ingeisha mapema tu
Giroud hana uwezo wa kutengeneza nafasi za kufunga. Na hata kwenye nafasi 10 anafunga mbili. Ndiyo maana mzee Wenger alikuwa anambench kila wakati
 
Kwani ni lini chelsea ilikua haikabi?

Kusema kwamba Thom kaifundisha chelsea kukaba?

Mko na Lampard mnapress, mna speed, mna pasi za kwenda mbele, cross za Reece, squad depth pana.

You had everything isipokua magoli.

Now Thom kaja robo msimu kafungwa 5 na westbrom. Westbrom in 2021 kamfunga chelsea 5, mbinu ziko wapi hapo? Next season mtaanza na moto kisha utapoa, kama Spurs.

Jose kaichukua timu njiani akaonyesha matumaini next season akaanza kwa moto akapoa kafukuzwa.

Naona unaongea kishabiki zaidi kuliko kimpira

Wakati wa lamps chelsea ilikuwa inaruhus magoal kiasi gani,
Kufungwa 5 sio sababu useme kocha hana mbinu,
Sir Alex Ferguson alifungwa 6, guardiola alifungwa 5 msimu huu utasema alikuwa hana mbinu, kufungwa katika mpira huwa kupo tu hata uwe na mbinu kiasi gani kuna mechi utafungwa tu, na mtu akifungwa sio hana mbinu kuna siku unakuta kila unachokifanya kinaenda ndivyo sivyo ila isiwe sababu ya kusema huyu kocha hafai,
 
Unanilisha maneno.

Sijasema hafai.

Ila nasema mnamuwazia makubwa bila kujali historia yake alipotokea
 
Werner anatumia nguvu kubwa kupata matokeo lakini Kai Havertz anatumia nguvu kidogo sana kupata matokeo, kwa mfano goli la jana la Werner Kai kadonoa mpira kidogo tu kama hataki vile na ikaleta madhara kwa RM
Saivi zile kelele sijui tulipigwa naona zishaanza kupotea
 
Unanilisha maneno.

Sijasema hafai.

Ila nasema mnamuwazia makubwa bila kujali historia yake alipotokea
Je huko alipotoka historia yake ikoje? tuanzie hapo
Kama issue ni kushindwa kuchukua ucl wakat yuko psg

Mourinho alitoka inter milan kwenda madrid huku akiwa ametoka kuchukua ucl ila wakati yuko madrid hakuwahi kuchukua ucl

Pep alitoka barcelona kwenda bayern munich lakin wakat akiwa yuko munich hakuwahi kufika hata fainal ya uefa ila baada ya kuondoka bayern wakachukua ucl
 
Back
Top Bottom