Nami naheshimu hisia zakoNaheshimu hisia zako ila hapo kwa Madrid Jumatano haina jinsi atafungwa tu. Kuhusu mechi za epl napenda sana zote Mendy atoke na clean sheet
Harvetz 1st Goal View attachment 1770951
Dah huyu kijana Harvetz ana akili sana ya mpira. Alimpa Werner pass akijua kabisa Werner yuko mwenyewe katikati ya msitu wa Fulham.
Dogo akakatiza kwenda kuipokea ile pass na kufunga. Mabeki wa Fulham walishindwa kumark Harvetz kwa sababu Werner naye alitumia akili ya kuwazubaisha mabeki.
Werner hata kama hafungi ila umuhimu wake pale mbele ni mkubwa sana, anapachezesha vizuri sana.
Salute Harvetz tuko pamoja kijana wangu. Nimeanza kukubali, kula msosi vizuri uendelee kupata nguvu ya kuachia mashuti makali.
Hao Madrid wanauwezo wakutufunga 1 bila Tena tukiwa stamford bridge?Kuna muda najiuliza hivi hawa Chelsea wanavimba kuwa wameshafuzu uefa ,unabaki unacheka tu..
Aggregate 1-1
Wanayecheza nae ,katulia tu ,real Madrid ..
Hizi takataka ni kila kona kuimba wameshafuza ,huyu Madrid akiwafunga goli moja ,tayari Hamna chenu ,sasa unabaki unajiuliza hawa kenge wanajivunia nini hasa .?
Aisee
Hapo ni silva tu ndio wakuongezewa mikatabaAbraham anacheza bila sanduku la posta, haijulikani anafanya nini uwanjani.
Kiwango kidogo sana sio level ya Chelsea tena. Villa walete huo mpunga fasta.
Wachezaji wanaomaliza mkataba mwisho wa msimu huu:-
1. Bakayoko - Contract expires: Jun 30, 2021
2. Drink water - Contract expires: Jun 30, 2021
3. Batshuayi - Contract expires: May 31, 2021
4. Barkley - Contract expires: May 31, 2021
5. Cheek - Contract expires: May 31, 2021
6. T. Silva - Contract expires: Jun 30, 2021
7. Giroud - Contract expires: Jun 30, 2021
ifike hatua mjua knock out stage chochote kinaweza tokeaHao Madrid wanauwezo wakutufunga 1 bila Tena tukiwa stamford bridge?
ifike hatua mjua knock out stage chochote kinaweza tokea
1-0 ,unaweza kumfunga Madrid lakini na yeye anaweza kupambana kupata goli 1 ,haijalishi yupo hapo darajan ,kwan daraja ndio linacheza ,hapo stamford bridge si mnafungwaga nyie ?
1-1 ,hapa zinaongeza 30 ,huko ni kuelekea kwenye matuta ...
2-2 ,Chelsea anaaga mashindano
Game ipo 50/50
Chelsea done win 4-1Barcelona 2 PSG 1
Aggregate 3-2
Barcelona anamsubiri Chelsea au Bayern Munich
Mpiga ramri umeanzaifike hatua mjua knock out stage chochote kinaweza tokea
1-0 ,unaweza kumfunga Madrid lakini na yeye anaweza kupambana kupata goli 1 ,haijalishi yupo hapo darajan ,kwan daraja ndio linacheza ,hapo stamford bridge si mnafungwaga nyie ?
1-1 ,hapa zinaongeza 30 ,huko ni kuelekea kwenye matuta ...
2-2 ,Chelsea anaaga mashindano
Game ipo 50/50
Mkuu hivi viclip unavipataje, mana kuna siku sijaangalia mpira natamani nioene magoli,na nyie mnakua hamjapost basi napagwa.Madrid hawa hawa au wengine?View attachment 1771207
Kuna muda najiuliza hivi hawa Chelsea wanavimba kuwa wameshafuzu uefa ,unabaki unacheka tu..
Aggregate 1-1
Wanayecheza nae ,katulia tu ,real Madrid ..
Hizi takataka ni kila kona kuimba wameshafuza ,huyu Madrid akiwafunga goli moja ,tayari Hamna chenu ,sasa unabaki unajiuliza hawa kenge wanajivunia nini hasa .?
Aisee
Mimi level zangu ni buyern tu hapa dunian ,Huyo PSG kajileta wacha tumuwashe moto ...Sisi kujiamini kiasi hicho kuna kuuma nn ww? Ama unaogopa kukutana na sisi kwenye fainali
Mimi level zangu ni buyern tu hapa dunian ,Huyo PSG kajileta wacha tumuwashe moto ...
Yaan tukikutana final nyie (japo najua mwisho wenu ni jumatano ),kama mkibahatika basi nitaenda kuangalia final nikiwa na suti kabisa ya kuchukua uefa ..
Kwa sababu kabla ya HT mtakuwa mmeshaogelea magoli ,huku tukisubili kukabidiwa kombe ...
Takataka kama Chelsea kusema itaweza mfunga city ni ndoto ...
Wewe ndiyo wale mashabiki mandazi hujui chochote kuhusu soka,naona unapuyangapuyanga tu.Mimi level zangu ni buyern tu hapa dunian ,Huyo PSG kajileta wacha tumuwashe moto ...
Yaan tukikutana final nyie (japo najua mwisho wenu ni jumatano ),kama mkibahatika basi nitaenda kuangalia final nikiwa na suti kabisa ya kuchukua uefa ..
Kwa sababu kabla ya HT mtakuwa mmeshaogelea magoli ,huku tukisubili kukabidiwa kombe ...
Takataka kama Chelsea kusema itaweza mfunga city ni ndoto ...
Wewe unajua nini hasa kuhusu mpira ?Wewe ndiyo wale mashabiki mandazi hujui chochote kuhusu soka,naona unapuyangapuyanga tu.