Mwaka 2012 Chelsea tulibeba FA CUP pamoja na UEFA CHAMPION LEAGUE natumai madogo watafanya kama kaka zao msimu huu kwa kubeba makombe aya mawili tena
received_973556823390562.jpg
 
Bishoo wetu Abraham anasemaje kwani?
Dah huyu kijana Harvetz ana akili sana ya mpira. Alimpa Werner pass akijua kabisa Werner yuko mwenyewe katikati ya msitu wa Fulham.

Dogo akakatiza kwenda kuipokea ile pass na kufunga. Mabeki wa Fulham walishindwa kumark Harvetz kwa sababu Werner naye alitumia akili ya kuwazubaisha mabeki.

Werner hata kama hafungi ila umuhimu wake pale mbele ni mkubwa sana, anapachezesha vizuri sana.

Salute Harvetz tuko pamoja kijana wangu. Nimeanza kukubali, kula msosi vizuri uendelee kupata nguvu ya kuachia mashuti makali.
 
Dakika ya 10 sisi Chelsea tunaongoza kwa goli moja
Chelsea 1 Bayern Munich 0
Aggregate ni 2-2 (sisi tuna goli la ugenini)
Yaani kama una nafasi ebu fuatilia kwenye hii link
 
Barcelona 2 PSG 1
Aggregate 3-2
Barcelona anamsubiri Chelsea au Bayern Munich
 
Kuna muda najiuliza hivi hawa Chelsea wanavimba kuwa wameshafuzu uefa ,unabaki unacheka tu..

Aggregate 1-1

Wanayecheza nae ,katulia tu ,real Madrid ..

Hizi takataka ni kila kona kuimba wameshafuza ,huyu Madrid akiwafunga goli moja ,tayari Hamna chenu ,sasa unabaki unajiuliza hawa kenge wanajivunia nini hasa .?

Aisee
 
Hao Madrid wanauwezo wakutufunga 1 bila Tena tukiwa stamford bridge?
 
Abraham anacheza bila sanduku la posta, haijulikani anafanya nini uwanjani.

Kiwango kidogo sana sio level ya Chelsea tena. Villa walete huo mpunga fasta.

Wachezaji wanaomaliza mkataba mwisho wa msimu huu:-

1. Bakayoko - Contract expires: Jun 30, 2021

2. Drink water - Contract expires: Jun 30, 2021

3. Batshuayi - Contract expires: May 31, 2021

4. Barkley - Contract expires: May 31, 2021

5. Cheek - Contract expires: May 31, 2021

6. T. Silva - Contract expires: Jun 30, 2021

7. Giroud - Contract expires: Jun 30, 2021
Hapo ni silva tu ndio wakuongezewa mikataba
Hao wengine tuachane nao

Sorry Giroud
 
Hao Madrid wanauwezo wakutufunga 1 bila Tena tukiwa stamford bridge?
ifike hatua mjua knock out stage chochote kinaweza tokea

1-0 ,unaweza kumfunga Madrid lakini na yeye anaweza kupambana kupata goli 1 ,haijalishi yupo hapo darajan ,kwan daraja ndio linacheza ,hapo stamford bridge si mnafungwaga nyie ?

1-1 ,hapa zinaongeza 30 ,huko ni kuelekea kwenye matuta ...

2-2 ,Chelsea anaaga mashindano

Game ipo 50/50
 
Hata ninyi hamjamalizana na PSG. Kwa upande wetu naamini lads watapambana ipasavyo
 
ifike hatua mjua knock out stage chochote kinaweza tokea

1-0 ,unaweza kumfunga Madrid lakini na yeye anaweza kupambana kupata goli 1 ,haijalishi yupo hapo darajan ,kwan daraja ndio linacheza ,hapo stamford bridge si mnafungwaga nyie ?

1-1 ,hapa zinaongeza 30 ,huko ni kuelekea kwenye matuta ...

2-2 ,Chelsea anaaga mashindano

Game ipo 50/50
Mpiga ramri umeanza
 
Katika mechi 9 za London Derby alizocheza Chelsea
Imeshinda 7
Imefungwa 1
Imedroo 1
1619983590471.png

Katika table Chelsea inaongoza kwa point 22, GD ya 13 na Point kwa kila mechi ni 2.44
1619983716039.png

LONDON IS BLUE ALWAYS
 
Sisi kujiamini kiasi hicho kuna kuuma nn ww? Ama unaogopa kukutana na sisi kwenye fainali
Kuna muda najiuliza hivi hawa Chelsea wanavimba kuwa wameshafuzu uefa ,unabaki unacheka tu..

Aggregate 1-1

Wanayecheza nae ,katulia tu ,real Madrid ..

Hizi takataka ni kila kona kuimba wameshafuza ,huyu Madrid akiwafunga goli moja ,tayari Hamna chenu ,sasa unabaki unajiuliza hawa kenge wanajivunia nini hasa .?

Aisee
 
Sisi kujiamini kiasi hicho kuna kuuma nn ww? Ama unaogopa kukutana na sisi kwenye fainali
Mimi level zangu ni buyern tu hapa dunian ,Huyo PSG kajileta wacha tumuwashe moto ...

Yaan tukikutana final nyie (japo najua mwisho wenu ni jumatano ),kama mkibahatika basi nitaenda kuangalia final nikiwa na suti kabisa ya kuchukua uefa ..

Kwa sababu kabla ya HT mtakuwa mmeshaogelea magoli ,huku tukisubili kukabidiwa kombe ...

Takataka kama Chelsea kusema itaweza mfunga city ni ndoto ...
 
Wewe toka tukutie ukuni siku ile akili yako iliyumba sana, sasa subiri Jumamosi tukutie ukuni mwingine.
Mimi level zangu ni buyern tu hapa dunian ,Huyo PSG kajileta wacha tumuwashe moto ...

Yaan tukikutana final nyie (japo najua mwisho wenu ni jumatano ),kama mkibahatika basi nitaenda kuangalia final nikiwa na suti kabisa ya kuchukua uefa ..

Kwa sababu kabla ya HT mtakuwa mmeshaogelea magoli ,huku tukisubili kukabidiwa kombe ...

Takataka kama Chelsea kusema itaweza mfunga city ni ndoto ...
 
Mimi level zangu ni buyern tu hapa dunian ,Huyo PSG kajileta wacha tumuwashe moto ...

Yaan tukikutana final nyie (japo najua mwisho wenu ni jumatano ),kama mkibahatika basi nitaenda kuangalia final nikiwa na suti kabisa ya kuchukua uefa ..

Kwa sababu kabla ya HT mtakuwa mmeshaogelea magoli ,huku tukisubili kukabidiwa kombe ...

Takataka kama Chelsea kusema itaweza mfunga city ni ndoto ...
Wewe ndiyo wale mashabiki mandazi hujui chochote kuhusu soka,naona unapuyangapuyanga tu.
 
Back
Top Bottom