Jana mlibebwa kabisa lile goli ni offside clear ...hii team inashinda kwa njama za marefa
ujui mpira
IMG-20210224-WA0002.jpg
 
Download app inaitwa live football tv ipo poa sana
Mkuu nilidownload BURMA TV na ilikuwa inafanya kazi vizuri sana lakini sasa hivi haifanyi kazi. Pia jana nilidownload hii ya LIVE FOOTBALL TV nayo haifanyi kazi kiongozi wangu, sijui hata nifanyeje!
 
Mason Mount na Jorginho hawatacheza mchezo wa marudiano na Atletico Madrid kwa sababu ya Njano nyingi
 
Mechi zote za UEFA round of 16 timu za away zashinda isipokuwa mechi ya Porto na Juventus
 
Mkuu nilidownload BURMA TV na ilikuwa inafanya kazi vizuri sana lakini sasa hivi haifanyi kazi. Pia jana nilidownload hii ya LIVE FOOTBALL TV nayo haifanyi kazi kiongozi wangu, sijui hata nifanyeje!
tpaul Nenda playstore download LIVE FOOTBALL TV STREAMING chini yake imeandikwa MR-Sport hiyo ipo poa sana.Juzi nilicheki game yetu vizuri Sana.
 
Jana mlibebwa kabisa lile goli ni offside clear ...hii team inashinda kwa njama za marefa
Kwa hiyo muda wote huo umejificha unakuja na sababu laini kama hii. Goli limefungwa kiufundi lile. Sio kama Pernandez 🤣
 
Haaland anaongoza UEFA kwa magoli 8 na assist 1, Morata wa pili kwa goli 6 assists 1, nafasi ya 3 ni Giroud, Naymar na Rashford goli 6 kila mmoja bila assist
 
Chelsea haijawahi kutolewa michuano ya UEFA ikiwa imetangulia kushinda
Ni kweli lkn kwa ATM na Diego Simeon ni kocha wa Hovyo sn watakuja Darajani wakiwa moto sn yaani watatusumbua sn. Huo mchezo utakua ni mgumu sn kuliko huu wa kwanza ulio pita.

ATM watakuja na team work moja. Watashambulia kwa nguvu wote kwa pamoja na kukaba wote kwa nguvu kwa pamoja na watajitahidi sn wao kumiliki mpira yaani waizidi Chelsea possession.

Hiyo game Tuchel hatomuanzisha Odoi ktk upande wa Wingback ya kulia tunahitaji kua na defender kweli huo upande kwahiyo James atafaa zaidi maana km atawekwa Odoi yeye sio mzuri ktk kukaba hivo ATM huo upande watautumia sn.

Vile vile wanaweza kuja kutumia udhaifu wa mbio wa Alonso maana Alonso hana kasi ktk kukikmbia kwahiyo huo upande nao watautumia sn.

Tutegemee kuona mchezo mgumu sn uliojaa mbinu na ushindani ingawa mpk sasa Tuchel ameonyesha uwezo mkubwa wa mbinu kuliko Diego. Maana aliiwazidi ATM kila kitu. Hebu imagine DK 90, ATM hawakua na shoot ata moja on Target. Hii ni mbaya sn kwa Cholo.
 
Hii game ya 2 itamuhitaj thiago silva maana pale nyuma bila thiago huwa pagumu mabek wanafanya error za ovyo

Game ya 1 kama atm wangekuwa makini wangetutangulia kutufunga kw sababu ya kosa la mendy, na kosa jingine liliwajumuisha alonso na rudiger

Tunahitaji kujiepusha na haya makosa game ijayo
 
Back
Top Bottom