Striker anayefunga magoli ndie wa kupewa muda mwingi. Timo ni striker mzuri ila bado hajatulia. Ana makosa mengi kama ya Tammy, ila kwa sababu Tammy ni mwingereza ndie anaonekana. Tukifanya analysis ya clear chances walizokosa Tammy na Timo ni kama wako ngoma sawa. Advatage pekee ya Timo over Tammy ni anacheza mpira na juhudi zake asipofunga zinazaa goli kupitia wengine
Kwa form aliyonayo Giroud sasa hivi isitibuliwe, acheze tu pale hata Timo akianzia Benchi au Pulsiic yote sawa
Jana nilifurahi sana Giroud alipopiga goli 4 na kumlazimisha Lampard kufurahi kwa kushangilia magoli.

Je yule Giroud wa Arsenal atakuwa si huyu kwa mwendelezo wa magoli mengi akipewa mechi nyingi mfululizo au ilikuwa nyota tu kwa mechi ya jana pekee?

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 
Msipopata injuries kwa key players mna nafasi kubwa sana ya kupambania ubingwa.
Nimekukubali sana mkuu, hilo ni la kuombea sana kwa timu zetu sote.

Bila unafki, Klopp ni kocha wa kiwango bora sana mkuu, ebu vaa uhusika wake kwa kupatwa na majeruhi first eleeven players zaidi ya wa5 wa Liverpool lakini bado anakaa kileleni mwa ligi akizidiwa magoli ya kufunga na T.Spurs pekee.

Nimemwona Pep alivyoyumbaga baada ya Man City kuwa na majeruhi ya akina KDB na Larpote pekee kwa kusuasua sana kiushindaji kwa mechi, je Klopp aliyepatwa na majeruhi wengi sana wa fst11 kuliko timu zote za epl?

Kiukweli mpaka sasa Liverpool ilipo inanishangaza sana, ninaona jinsi Klopp anavyobembeleza kikosi, aisee majeruhi ni shida.
 
Wewe hiyo loserkuku bado hajakutana na timu konki. Angalia toka wamepata majeraha wamekutana na klabu zipi ngumu zaidi ya Atalanta sasa subiri akutane na konki zenyewe ndio atajua hajui. Kwa kuanza wikiendi hii ana wolves hapo ndio atajua hajui
Nimemwona Pep alivyoyumbaga baada ya Man City kuwa na majeruhi ya akina KDB na Larpote pekee kwa kusuasua sana kiushindaji kwa mechi, je Klopp aliyepatwa na majeruhi wengi sana wa fst11 kuliko timu zote za epl?

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 
Jana nilifurahi sana Giroud alipopiga goli 4 na kumlazimisha Lampard kufurahi kwa kushangilia magoli.

Je yule Giroud wa Arsenal atakuwa si huyu kwa mwendelezo wa magoli mengi akipewa mechi nyingi mfululizo au ilikuwa nyota tu kwa mechi ya jana pekee?

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
Kuna wachambuzi wanasema Giroud ana nyota njema na michuano ya UEFA kwa Chelsea na Timu yake ya Taifa
 
Chelsea bonge ĺa timu aise
Mashabiki wa timu fulani fulani na makocha wao walibeza usajili wa zaidi ya mil 200, sasa umeanza kuleta faida tena kwa haraka maana wengine tulidhani hadi msimu wa 2021 ndio itaanza kuleta matunda, hao wameona wivu na wengine kwa aibu yao wametususa kabisa
 
faida gani haujashinda game kubwa hata moja,usajili wa mil300 ili umfunge Newcastle
 
Wazee wa Leasing,naskia hadi mashabiki mlianza kwa kukodisha ,dah nyie wazee hatari
 
faida gani haujashinda game kubwa hata moja,usajili wa mil300 ili umfunge Newcastle
Wewe huoni aibu kabisa? Mpaka sasa nimechezana wakubwa wa3 wawili draw mmoja kanifunga. Msimu uliopita ww Man City, Spurs wote nimewabamanda. Njoo mwisho wa msimu useme hii kauli yako tena.
 
153 Reactions
Reply
Back
Top Bottom