Timo mwenyew anasema anapenda Sana kutokea pembeni sababu anapenda Sana kucheza mpira
Nilitaka kusema hii hii point. Timo anafurahia kucheza wide winga wa kushoto kuliko striker, japo ukweli ni kuwa Timo kafunga magoli mengi alipocheza kama striker no. 9
Ila kwa sababu striker wa kufunga magoli tunaye, Timo asaidiane na Pulisic kushoto na Odoi na Ziyech wapambanie kulia. Giroud na Tammy wapambanie hapo katikati
 
Jukwaa limepoaaa, sipati picha kama tungepoteza mechi ya jana. Kule facebook kuna mtu alijiapiza kabisa kuwa chelsea inapoteza mechi. Majukwaa ya wale wanaomiliki viwanja hali sio shwari kabisa
 
Pulisic akiwa ful fit kushoto acheze yeye maana anao uwezo wa kupunguza watu tofauti na timo
Timo acheze kati tu pale pulisic atakaporudi kweny form yake
 
Nilitaka kusema hii hii point. Timo anafurahia kucheza wide winga wa kushoto kuliko striker, japo ukweli ni kuwa Timo kafunga magoli mengi alipocheza kama striker no. 9
Ila kwa sababu striker wa kufunga magoli tunaye, Timo asaidiane na Pulisic kushoto na Odoi na Ziyech wapambanie kulia. Giroud na Tammy wapambanie hapo katikati
Hii kitu sikuwahi kujua kwamba Timo anafurahia Zaidi akicheza wing kuliko striker
 
Jukwaa limepoaaa, sipati picha kama tungepoteza mechi ya jana. Kule facebook kuna mtu alijiapiza kabisa kuwa chelsea inapoteza mechi. Majukwaa ya wale wanaomiliki viwanja hali sio shwari kabisa
Hao wapuuzi achana nao wanakosa point wanajaribu kujitafutia vi maada wakihisi watatukera
 
Jukwaa limepoaaa, sipati picha kama tungepoteza mechi ya jana. Kule facebook kuna mtu alijiapiza kabisa kuwa chelsea inapoteza mechi. Majukwaa ya wale wanaomiliki viwanja hali sio shwari kabisa

Hahaha, kwenye ule ubishi wa viwanja sikumwona mshabiki wa Man Utd.

Labda kama unawasema Arsenal.
 
Back
Top Bottom