Aisee tuwe wakweli wachezaji tunao ila hatuna kocha kitu kilichonishangaza jana ni kocha kiukweli sikutarajia mount aanze first eleven,nilichojifunza pia kingine ni kuwa lampard kaamua ziyech na pulisic wagombanie nafasi ila mount lazima awepo tupende au tusipende.
 
Kajumlishwa kama kipa wa dharura endapo ikitokea makipa wote wa 3 wamepata maambukizi ya corona kwa wakati mmoja au kwa kutofautiana siku chache, hapo ndipo tutamuona cech
juan david Je ikitokea Mendy akaumia Caballero na kepa both wazima je unaweza ukamuanzisha Peter cech badala ya Caballero na kepa?
 
Unampiga bench azplicueta mtu anaepush timu kisa James kweli?
Mbona james jana kacheza vizuri

James huwa ni mzuri kwenda mbele ila kwenye defensive sio mzuri ila jana kacheza vizuri

Azplicueta ni mzuri defensive ila sio kweny kushambulia, cross zake huwa za hovyo

Tuwe tunaacha unafki mda mwingine
 
Aisee tuwe wakweli wachezaji tunao ila hatuna kocha kitu kilichonishangaza jana ni kocha kiukweli sikutarajia mount aanze first eleven,nilichojifunza pia kingine ni kuwa lampard kaamua ziyech na pulisic wagombanie nafasi ila mount lazima awepo tupende au tusipende.
Hiyo ya Mount ndio ile watu wanasemaga "mapenzi kazini"
 
juan david Je ikitokea Mendy akaumia Caballero na kepa both wazima je unaweza ukamuanzisha Peter cech badala ya Caballero na kepa?
Haitowezekana, coz nafasi yake wamesema ni kama emergency cover ndio maana lamps amesema hategemei kumuona cech akicheza ila kutokana na hali ilivyo ya corona wameamua kumjumuisha tu endapo atakapohitajika atacheza ikiwa tu magk wote wanaumwa/majeruhi
 
Wakati Arsenal wamemtema Ozil kwenye squad, Chelsea wamefanya hiki
Screenshot_20201021_093533_com.twitter.android.jpeg
 
Jana defensive tulikuwa solid hii ilichangiwa na uwepo wa silva na ile double pivot jana imejitahid kulinda back 4

Shida jana ikawa iko mbele kutokana na lamps kupanga wachezaj nje ya nafasi zao na hichi kitu kikatufanya tukose creativity mbele

Wikiend hii tuko n man utd, tunahitaj kuona ile front 4 yetu tunayoitaka na si kumuona mount anaanza kama LW, wakat LW tunao
 
Ngoja tuwacharazeni vitatu ndio mujue kua hamjui.
Jana defensive tulikuwa solid hii ilichangiwa na uwepo wa silva na ile double pivot jana imejitahid kulinda back 4

Shida jana ikawa iko mbele kutokana na lamps kupanga wachezaj nje ya nafasi zao na hichi kitu kikatufanya tukose creativity mbele

Wikiend hii tuko n man utd, tunahitaj kuona ile front 4 yetu tunayoitaka na si kumuona mount anaanza kama LW, wakat LW tunao
 
Na kwako unaona kama ni jambo la kawaida , au unataka watu wachukulie ni kawaida

Hapa tunaongelea technical director ujue,

Emergency could be U23, U21, U18... Why Technical Director
Amejumuishwa kama emergency cover, atacheza tu pale makipa wote 3 watakapokuwa unavailable kutokana na hali ya sasa jins ilivyo
 
Na kwako unaona kama ni jambo la kawaida , au unataka watu wachukulie ni kawaida

Hapa tunaongelea technical director ujue,

Emergency could be U23, U21, U18... Why Technical Director
Kwa nini team zinapopata injury ya magk kwa nini wasitumie hao from U18,U21 na badala yake huwa wanaenda kunua kipa mwingine
 
Chelsea bana mimi japo nashabikia Man U ila naona kikosi mnacho ila mnakosa muunganiko na mbinu pamoja na morali.

Tukutane Jumapili tujue Ole na Lamps nani kilaza.
 
Back
Top Bottom