Lampard hatufai kabisa
Taratibu tutaelewana tu humu, kila siku huwa nasisittiza kuwa Lampard ni kocha wa mazungumzo.

Lampard hawezi na hatoweza kutupeleka nchi yenye asali na maziwa japo ana nyota ya ushindi kwa baadhi ya mechi.

Lakini kusajili tu Lampard nampa 100% anajua sana kuchagua wachezaji wazuri.

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 
Kwa mbali sana naanza kukuelewa
 
Lampard anaweza kuwa kazingua kimbinu leo ila tusiibeze sevilla tukadhan ni tim rahis

Lamps unapozingua ni kumpanga mount kila mechi, sawa nakubal Mount anajituma, ila sio kila mechi anapaswa kuanza as a LW, mchezeshe mchezaj kweny nafasi yake halisi ili aoneshe uwezo wake, kumpanga mchezaj out of his position kunamfanya aonekane kama hajui

Angekuwepo kepa leo tulikuwa tunalala.

Bado na imani na lamps
 
Back
Top Bottom