Players who have scored 50 goals or more in UEFA club competition*

131: Cristiano Ronaldo (POR, Sporting CP, Manchester United, Real Madrid, Juventus)
118: Lionel Messi (ARG, Barcelona)
77: Raúl González (ESP, Real Madrid, Schalke)
75: Robert Lewandowski (POL, Lech Poznań, Borussia Dortmund, Bayern München)
70: Filippo Inzaghi (ITA, Parma, Juventus, AC Milan)
67: Andriy Shevchenko (UKR, Dynamo Kyiv, AC Milan, Chelsea)
66: Karim Benzema (FRA, Lyon, Real Madrid)
62: Ruud van Nistelrooy (NED, Heerenveen, PSV Eindhoven, Manchester United, Real Madrid, Hamburg)
62: Gerd Müller (GER, Bayern München)
61: Sergio Agüero (ARG, Atlético Madrid, Manchester City)
59: Thierry Henry (FRA, Monaco, Juventus, Arsenal, Barcelona)
59: Henrik Larsson (SWE, Feyenoord, Celtic, Barcelona, Manchester United, Helsingborg)
57: Zlatan Ibrahimović (SWE, Ajax, Juventus, Internazionale Milano, Barcelona, AC Milan, Paris Saint-Germain, Manchester United)
56: Eusébio (POR, Benfica)
55: Klaas-Jan Huntelaar (NED, Heerenveen, Ajax, AC Milan, Schalke)
54: Alessandro Del Piero (ITA, Juventus)
50: Didier Drogba (CIV, Marseille, Chelsea, Galatasaray)
50: Alfredo di Stéfano (ARG/ESP, Real Madrid)
 

Most UEFA hat-tricks

8= Lionel Messi (Barcelona)
8= Cristiano Ronaldo (Real Madrid 7, Juventus 1)
3= Filippo Inzaghi (Juventus 2, AC Milan 1)
3= Mario Gomez (Bayern München)
3= Luiz Adriano (Shakhtar Donetsk)
3= Robert Lewandowski (Dortmund 1, Bayern München 2)
 
KESHO NAPENDEKEZA HII LINE-UP
1603119736171.png
 
Daah kumkosa Mendy kesho ni changamoto bado. Hata Silva sina uhakika kesho
Mendy,silva wote leo wamefanya mazoezi

Silva hakuwa injury alipumzishwa kwa sababu ya safar ndefu aliyokuwa nayo kutoka national team
Kesho tutegemee kumuona

Wasi wasi upo kwa mendy tu
 
Kuna wanaosema Ziyech bado atatokea benchi, Ngolo Kante atapumzishwa na Azpilicueta
Kwa hiyo Predicted Line Up dhidi ya Sevilla itakuwa hivi
1603199997095.png
 
Pulisic-Werner-Ziyech
Chilwell--Kai-Kante-James
Zouma-Silva-Cesar
-Caballero/Mendy

Kama anapanga hivyo inaweza kutusaidia kusecure ushindi nyumbani.
 
Mendy,silva wote leo wamefanya mazoezi

Silva hakuwa injury alipumzishwa kwa sababu ya safar ndefu aliyokuwa nayo kutoka national team
Kesho tutegemee kumuona

Wasi wasi upo kwa mendy tu
Kufanya mazoezi siyo tiketi ya kucheza ila kama yupo fit aanze tusifanye majaribio mechi ya nyumbani ushindi muhimu. Sevilla mgumu sana kwake
 
Kwa namna chelsea mnaruhusu magoli naona kazi mnayo leo.

Asipocheza Thiago backline yote itakua na shughuli pevu. Golini akae yeyote tu, ishu ni akosekane beki mzoefu wa kupanga wenzake itakua mwendo wa forward zinascore beki zinaachia.
 
Kwa namna chelsea mnaruhusu magoli naona kazi mnayo leo.

Asipocheza Thiago backline yote itakua na shughuli pevu. Golini akae yeyote tu, ishu ni akosekane beki mzoefu wa kupanga wenzake itakua mwendo wa forward zinascore beki zinaachia.
Hapo goalini akae yoyote naona una ugomvi na mashabiki wa Chelsea ila overall maoni yako Ni mazuri.
 
Hapo sijaandika kinafiki.

Nimemuona zouma alivyocheza na thiago na zouma ambaye siku zingine hana muongozo. Hata juzi hakua na muongozo pia.
Naona ujanielewa ukisema golini unamaanisha hapo nafasi ya kipa sio beki kwahiyo unamaanisha acheze kipa yoyote ndio maana nikakuambia una ugomvi na mashabiki wa Chelsea
 
Kufanya mazoezi siyo tiketi ya kucheza ila kama yupo fit aanze tusifanye majaribio mechi ya nyumbani ushindi muhimu. Sevilla mgumu sana kwake
Kumbuka Thiago hakuwa injury bali sababu ya kukosa mchezo wa soton nikutokana na safari ndefu aliyekuwa nayo wakat anarudi

Ndio maana nikasema wasi wasi wangu upo kwa mendy na sidhan kama lamps anaweza kumuarakisha

Mendy tutegemee kumuona game ya man utd
 
Back
Top Bottom