Giroud ana umuhimu mkuuEduard Mendy karudi mazoezi na Rennes
Wanamtaka Giroud kama mbadala, Chelsea wakakataa
Wakamtaka Fikayo Tomori kama Swap deal, sijui kama Chelsea watakataa
Mimi nashauri wangemtoa Giroud sadaka
Si bora tuwape Barkley na Ruben kuliko kumtoa GiroudEduard Mendy karudi mazoezi na Rennes
Wanamtaka Giroud kama mbadala, Chelsea wakakataa
Sasa Wanamtaka Fikayo Tomori kama Swap deal la kutupa Eduard Mendy, sijui kama Chelsea watakataa
Mimi nashauri wangemtoa Giroud sadaka
Rennes, according to L’Equipe , originally demanded a fee of €40m and the loan of Giroud as part of the deal.
Hii Everton ya babu ancelloti itatisha sana msimu huu.....Fikayo Tomori kwenda mkopo wa muda mrefu Averton
That is good news ili apate muda mwingi wa kukomaa
Everton are close to finalising a deal to sign Chelsea defender Fikayo Tomori on a season-long loan.
Everton wanatukuzia wachezaji sana. Zouma ameenda kule karudi akiwa matured sana tunategemea hata kwa Tomori itakua hivyo hivyo.Fikayo Tomori kwenda mkopo wa muda mrefu Averton
That is good news ili apate muda mwingi wa kukomaa
Everton are close to finalising a deal to sign Chelsea defender Fikayo Tomori on a season-long loan.
Dunia nzima inajua kuw nyinyi ndio mnaongoza kwa vishunduHata uende kwa mganga wa kienyeji haitabadili maana ya
Sijaongeza neno sijapunguza neno
- Arse+Anal = Matako kamili
Ufafanuzi zaidi
Arse ni Matako upande wa ndani (Rectum), naongea kwa staha ili nisionekane sina akili
Anal ni matako upande wa nje (Anus)
Arse+Anal = Matako kamili
Arsenal ndio walioanza kutuita Cheltako wakidhani kuwa wote ni matako kama wao
Mwizi huona kila mtu ni mwizi kama yeye
Jino kwa jino
Hawa akina Dully ni kuwageuzia kisomi mpaka waache jukwaa letu
Hawa mbuzi mawe wanasema, wanawaza na kufikiri kama JINA LAO
Tulia dawa ikuingie mahali pakeHii mishabiki ya Arse8 bado yanaendelea kujazana huku..kule kwao jukwaani kumejaa updates tu na usajili wao wa jamiiforum ..ukiona unasimangwa sana ujue wewe ni bora zaidi yao ..sasa sisi tuyaache tu yaendelee kuzungusha kalio zao huku ..muhimu kuyapotezea tu..
#kuyapotezeaNivizuriKulikoKuyajibu.
#CFC
Unasema.?Marekebisho
Matokeo ya leo ni kama ifuatavyo
MAN UTD 1-1 LEICESTER
CHELTAKO 2-1 WOLVES
Mna bahati ..... wenu kawalinda
tuishi humo kwenye buluu buluu kwanza,Marekebisho
Matokeo ya leo ni kama ifuatavyo
MAN UTD 1-1 LEICESTER
CHELTAKO 2-1 WOLVES
Mna bahati ..... wenu kawalinda
umechelewa sana kulijua hili mkuu,huyu jamaa ni empty set kabisaWe kweli kilaza.
ENZOMarekebisho
Matokeo ya leo ni kama ifuatavyo
MAN UTD 1-1 LEICESTER
CHELTAKO 2-1 WOLVES
Mna bahati ..... wenu kawalinda