Eduard Mendy karudi mazoezi na Rennes
Wanamtaka Giroud kama mbadala, Chelsea wakakataa
Sasa Wanamtaka Fikayo Tomori kama Swap deal la kutupa Eduard Mendy, sijui kama Chelsea watakataa
Mimi nashauri wangemtoa Giroud sadaka

Rennes, according to L’Equipe , originally demanded a fee of €40m and the loan of Giroud as part of the deal.
 
Fikayo Tomori kwenda mkopo wa muda mrefu Averton
That is good news ili apate muda mwingi wa kukomaa

Everton are close to finalising a deal to sign Chelsea defender Fikayo Tomori on a season-long loan.
 
Si bora tuwape Barkley na Ruben kuliko kumtoa Giroud

Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
 
Fikayo Tomori kwenda mkopo wa muda mrefu Averton
That is good news ili apate muda mwingi wa kukomaa

Everton are close to finalising a deal to sign Chelsea defender Fikayo Tomori on a season-long loan.
Hii Everton ya babu ancelloti itatisha sana msimu huu.....
 
Fikayo Tomori kwenda mkopo wa muda mrefu Averton
That is good news ili apate muda mwingi wa kukomaa

Everton are close to finalising a deal to sign Chelsea defender Fikayo Tomori on a season-long loan.
Everton wanatukuzia wachezaji sana. Zouma ameenda kule karudi akiwa matured sana tunategemea hata kwa Tomori itakua hivyo hivyo.

Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
 
Following his first Premier League start of the 2015–16 season, Loftus-Cheek's Chelsea manager, José Mourinho, commented "He [Loftus-Cheek] is brilliant with the ball. He doesn't look 19 – he looks solid, stable and mature. But without the ball he doesn't look as good tactically."
 
Baada ya kuboronga Jumatatu, RLC sasa kuuzwa Mil 25
1600237706798.png
 
Hii mishabiki ya Arse8 bado yanaendelea kujazana huku..kule kwao jukwaani kumejaa updates tu na usajili wao wa jamiiforum ..ukiona unasimangwa sana ujue wewe ni bora zaidi yao ..sasa sisi tuyaache tu yaendelee kuzungusha kalio zao huku ..muhimu kuyapotezea tu..

#kuyapotezeaNivizuriKulikoKuyajibu.
#CFC 💙💙💙
 
Hata uende kwa mganga wa kienyeji haitabadili maana ya
  • Arse+Anal = Matako kamili
Sijaongeza neno sijapunguza neno
Ufafanuzi zaidi
Arse ni Matako upande wa ndani (Rectum), naongea kwa staha ili nisionekane sina akili
Anal ni matako upande wa nje (Anus)
Arse+Anal = Matako kamili
Arsenal ndio walioanza kutuita Cheltako wakidhani kuwa wote ni matako kama wao
Mwizi huona kila mtu ni mwizi kama yeye
Jino kwa jino
Hawa akina Dully ni kuwageuzia kisomi mpaka waache jukwaa letu
Hawa mbuzi mawe wanasema, wanawaza na kufikiri kama JINA LAO
Dunia nzima inajua kuw nyinyi ndio mnaongoza kwa vishundu
Unakakamaza fuvu tu hapo
 
Hii mishabiki ya Arse8 bado yanaendelea kujazana huku..kule kwao jukwaani kumejaa updates tu na usajili wao wa jamiiforum ..ukiona unasimangwa sana ujue wewe ni bora zaidi yao ..sasa sisi tuyaache tu yaendelee kuzungusha kalio zao huku ..muhimu kuyapotezea tu..

#kuyapotezeaNivizuriKulikoKuyajibu.
#CFC
Tulia dawa ikuingie mahali pake
 
turejee post nambari 73691, inasemaje kwanza ndio muje na hizo mboyoyo,

Rulenge fc
 
Back
Top Bottom