Kwani lamp kuna mchezaj yyt aliyemsajil. Hatuna tim kwa sasa huo ni ukweli ambao hatutaki kuukubali. Kwa tim tuliyonayo kuna matokeo yakija hupaswi kushangaa.

Msim uliopita tulimaliza top 4 kwa uwezo binafsi wa hazard na tulihitaj kusajil bahati mbaya tukapigwa ban
Tim imejaza mid table player
Tukubali tusikubali kuna mengine lampard anajitakia mwenyewe, hivi game ya Jana utampanga veep Abraham then unamuacha Giroud nje!?, Of course game ya Jana wachezaji walichezaji lakini naamini kabisa Giroud for the first half angefanya kitu.

Halafu point ya kwamba lampard hakufanya usajili wa mchazaji yoyote haisaidii mkuu, point ni kwamba hao wachezaji alionao wanatakiwa wampe kitu fulani, asa si Kila siku wanaenda Cobham training.

Anatakiwa atumie wachezaji alionao. Na siyo kusema kwamba hakuna mchezaji yoyote alomsajili mkuu.
 
Acha komenti za kimburura we unafikiri umewazidi akili waliomuweka pale afundishe
Mkuu jibu kwa hoja siyo matusi, mkuu una degree ngapi za ujinga wewe!?. Wanasema have a say on your team! and that was my say then am waiting for yours and not kutukana mkuu. Got it 👌
 
Mkuu jibu kwa hoja siyo matusi, mkuu una degree ngapi za ujinga wewe!?. Wanasema have a say on your team! and that was my say then am waiting for yours and not kutukana mkuu. Got it
Kiufupi lampard hadi alipofikia kajitahidi sana hapaswi kulaumiwa kwa chochote kile...imeisha iyo
 
IMG_8399.jpg
 
Tafuta comment yangu ya mechi ya juzi tuliyoshinda 3-2, nilicomment kwamba HONGERNI CHELSEA KWA USHINDI WA POINT 3 MUHIMU, ila tunahitaji engineer kutoka lamasia aje asuke kikosi upya.
Hiyo game si mlishinda kwa zari la mentali tu, na ilionekana dhahiri shahir kuwa mngedrop point
 
Jana hata giroud angeenza bado tungefungwa kwa zile beki zetu, beki yetu imekuwa mbovu sana tulitegemea rudiger akirudi kutoka injury ukuta utakaa sawa kumbe ndio kama hali imezidi vile.

Tim yetu sahiv hakuna wapambanaji na viongozi ndani ya tim. Tunafungwa magoal ambayo tuna fail kuclear
Juan David tupo pamoja. Hao hawakuangalia mechi live HD labda ni stream media, Sheffield United jana walijiandaa kuweka ngome na kwa wachezaji tulionao ilitakiwa na sisi jana tuwe na discpline ambayo hatukuwa nayo
 
Tukubali tusikubali kuna mengine lampard anajitakia mwenyewe, hivi game ya Jana utampanga veep Abraham then unamuacha Giroud nje!?, Of course game ya Jana wachezaji walichezaji lakini naamini kabisa Giroud for the first half angefanya kitu.

Halafu point ya kwamba lampard hakufanya usajili wa mchazaji yoyote haisaidii mkuu, point ni kwamba hao wachezaji alionao wanatakiwa wampe kitu fulani, asa si Kila siku wanaenda Cobham training.

Anatakiwa atumie wachezaji alionao. Na siyo kusema kwamba hakuna mchezaji yoyote alomsajili mkuu.
Hata angeanza Giroud msingeweza kupiga bao nne mkatoka na ushindi 4-3 . Bado mabeki wenu hawako makini na kwa ambavyo mlicheza mpira sana mkashindwa kupita ukuta wa Shellfied, Hiyo ni opportunity kubwa kwa timu kama Shellfield kuanzisha mashambulizi ya kushtukiza
 
Back
Top Bottom