DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,979
- 11,816
Mpo home alafu mmpewa odds kama zote kumaanisha kuwa ni kipondo tu ndo ambacho mnasubiri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha .......hajui ndio mana alikosa.
Bet your life saving.Mpo home alafu mmpewa odds kama zote kumaanisha kuwa ni kipondo tu ndo ambacho mnasubiri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Bayern alikuwa na timu bora kuliko sisi tukamfunga fainalikuwa na youth players haimainishi kuwa timu ni tia maji unaweza ukawa na pro player's
Kama unakumbuka nusu final ya uefa2012 Chelsea kikosi kilikuaje ukilinganish na cha Barcelona ,, Chelsea alikuw na kikosi kibovu lakin akapita so at the end tunaangalia matokeo utakayo pata haijalish una timu gan
Kwa sisi tunaojua betting huwa hatuamini odds kubwa ndio ukibonde. Sometimes wanaweka ivyo ili nyie mtishike.Mpo home alafu mmpewa odds kama zote kumaanisha kuwa ni kipondo tu ndo ambacho mnasubiri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo unataka Barkley acheze badala ya willian?Willian anacheza kama hataki sababu anajua msimu ujao atasepa.
Ni bora tu akae benchi hiyo nafasi acheze hata mason mount.
Game ya totte mount aliperform vizuri sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mechi nilizoangalia kwa presha kubwa ni ile na barca na fainal ya UEFAHahahaha
Binafsi huwa naamini usiku wa UEFA una maajabu makubwa sana, Timu zinapoingia uwanjani ukapigwa ule wimbo wa UEFA, Mentality za wachezaji zinabadilika kabisa.
Hii mechi ya leo sio ya kukosa, tutegemee kwenda kushuhudia maajabu.
Let's go blues.
Una point ila Willian huwa hatuangushi kwenye big matches, apangwe tuNadhani kocha anaishi na wachezaji kila siku anafahamu utimamu wa kila mchezaji (Physically, Mentally and Emotionally).
Kama kweli willan anaonekana hayuko fit mentally baada ya kunyimwa mkataba mpya its better asipangwe, heri nusu shari kuliko shari kamili.
Willan ni mchezaji mzuri sana ila kama hayupo comfortable, tusimlazimishe kumpanga hatutapata ile quality yake bora, nadhani Lampard atafanya uamuzi sahihi kwenye selection ya wachezaji kulingana na utimamu wao.
Sent using Cash Money Wings
The core founder mwenyewe. Unapotea sana hapa jukwaani ila hata ukija sema neno kuonyesha tupo pamoja.
The core founder mwenyewe. Unapotea sana hapa jukwaani ila hata ukija sema neno kuonyesha tupo pamoja.
KTBFFH
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawezi kuwa na confidence. Lazima atachexa under pressure. Kepa ili kumrudisha kikosini walau acheze game ya kawaida. Game kubwa kumrudisha anakua amepoteza confidence.KEPPA apangwe kwenye hii mechi, nadhani atadaka mpaka kivuli kupigania 1st eleven.
Hao wote uliowataja ulikuwa nao group moja, so jiandae tuu.Valencia amepigwa 4 na atalanta.
Ajax amepigwa naye huko sijui na kitimu gani.
Nyinyi ndo mlikuwa mnasema eti Mou hafungwi mara mbili.
Ila baada ya match ya juzi mkashona midomo.
Sent using Jamii Forums mobile app