Zouma ni beki mzuri hasa kwenye Defensive phase kuliko hata akina Luiz na Rudidger kwa sababu yeye ni mwepesi na mrefu. Sisi Chelsea tunamuhitaji sana hata kama tusingekuwa na ban
Hili la pili
 
Basi tuanze kampen ya Lampard Out mkuu au unasemaje?

Ahsante Everton
Wewe hauoni aibu kuizungumzia chelsea ulishawahi kuona maiti anamcheka mgonjwa ,mashabiki wa liverpool kwa sasa ndio wanayohaki ya kuicheka chelsea
 
Wewe hauna haki kabisa ya kukosoa chelsea kwa kuwa ni mshabiki wa arsenal wenzako wanaona aibu ,Arsenal ingekuwa bora ungemuona Aaron hapa lakini usivyo na aibu unajitutumua kweli kweli
Hili povu zitozito lakini halitonirudisha nyuma katika harakati zangu za kukupa pole jirani yangu...
Soka sio vita
 
IMG_6851.JPG
 
Hili povu zitozito lakini halitonirudisha nyuma katika harakati zangu za kukupa pole jirani yangu...
Soka sio vita
Jirani unaupendo kweli kweli matatatizo yako mazito lakini umeamua bila kulazimishwa na mtu yoyote kunipa pole na kusahau shida zako hakika utauona ufalme wa footbal
 
Reece James kuongezewa mkataba na posho baada ya kuanza vizuri kuichezea Chelsea kwenye ligi ya Uingereza. James ameweza kumtoa Azpi kwenye nafasi yake na kumpeleka kushoto huku mabeki maarufu kama akina Alonso na Emerson kuwekwa benchi. Mktaba wa Reece unaishia 2022 na inasadikiwa mkataba mwingine unaweza kumsogeza hadi 2026
ANASTAHILI HASTAHILI?
 
Reece bado hajaprove Kuwa ni beki wa kumtumainia! Still ana safari ndefu! Kibaya zaidi namhisi ni New version ya Aroan Wan Bissaka ambaye anajua only Kukaba na sio kushambulia na kucreate nafasi za kufunga, jambo ambalo ni old football.

Najua primary task ya FB ni kukaba, but mpira umebadilika.

√ Unajua kwanink Man City ukiwabana watu 3 tu (KDB, Sterling na Bernardo) unawamaliza kiurahisi?

Kwasababu mipira yote wanategemea Midfielders katika kutengeneza mashambulizi. Fullbacks zao hazikovizuri kwenye kutengeneza nafasi, Only Mendy ndiyo FB wa Man City amabaye anauwezo wa kucreate nafasi.

√ Ni sawa na Chelsea, akipotezwa Joginho na Kovacic mechi kwenu inawawia ngumu coz Fullbacks zenu haziwezi kutengeneza nafasi.

Na hii ndiyo inayotusaidia Liverpool kushinda game mara kwa mara! Tuko very shit kwenye Midfield (Hendo-Fabinho-Gini) ambao wote kwa pamoja msimu mzima hawafikishi assists hata 7 lakini tunatetengeneza nafasi nyingi za kufunga kwa sababu ya Kuwa na Fullbacks ambazo ni nzuri kwa kushambulia na kutengeneza nafasi za kufunga.

Lakini ukija kwenye kukaba Fullbacks zetu sio nzuri kivile kiasi ya kwamba Wan Bissaka ni bora Mara 10 kuliko TAA. Lakini popote pale TAA atakuwa ahead of Bissaka coz ndani ya dakika 90 Bissaka atakutengenezea Zero chance but TAA kuna uhakika wa kukutengenezea nafasi za kufunga 5+ na assist 1 au 2.

Kwahiyo sasahivi FB anapimwa zaidi kwa kushambulia kuliko kukaba Coz DM na CB wapo kucover nafasi Yake.

Reece anatakiwa aprove kwenye mashambulizi.
 
Siyo kwenye mifumo yote.

Hello King Ngwaba
Naona humjui vizuri James, mfuatilie. James ni mchezaji pekee Chelsea mwenye kuweza kucheza nafasi nyingi kuanzia beki wa kulia winga wa kulia na attacking MF. hata kwenye hiyo nafasi ya RB ni mzuri kwa kushambulia na kwa kupeleka krosi zenye uhakika golini. Ni bahati mbaya bado hajatengeneza chemistry na washambuliaji hasa Tammy japo goli la kwanza dhidi ya Aston Villa, James alitoa assists kwa Tammy
 
√ Ni sawa na Chelsea, akipotezwa Joginho na Kovacic mechi kwenu inawawia ngumu coz Fullbacks zenu haziwezi kutengeneza nafasi.
Nikuulize swala, Kwani kwenye football wanaotengeneza chances ni mabeki au washambuliaji? Mimi nafikiri sio kazi ya TAA kutengeneza nafasi kule Liverpool bali ni akina Sala, Mane, Firmino na wengineo mbele watengeneze nafasi ili wapasiwe mipira na hao mabeki au viungo au hata kati yao washambuliaji wenyewe kwa wenyewe.
Au labda maana ya kutengeneza nafasi tunatofautiuana
Mimi kwa maoni yangu japo kazi ya kutengeneza nafasi ni mawasiliano ya wahusika kwenye move ila mshambuliaji ndio stakeholder mkubwa kwenye hili
 
Mpira wa kutegemea watu Fulani watengeneze sikuhizi utakula hasara.

Guardiola ingawa alijua wazi kuwa Bissaka amemueka Sterling kwenye Man marking lakini bado alilazimisha Kuwa Sterling atengeneze nafasi, Nadhani ulikiona kilichotokea .

Narudia tena mpira umeshabadilika.

As long as una Fullbacks wazuri wa kushambulia na kutengeneza nafasi ndiyo unapopata matokeo.
 
Mumerudi kwa kasi ndugu zangu....leo tunaanua 3 wakuu.....hahahaaa

Lille wakijikazakaza kesho nahisi kilio kitaanza upya mimi nafikiri hakuna haja ya kufungua turubai,tuliache kwanza ili kesho ipite...

Kila la kheri chama langu la utotoni Lille
 
Kwa kutumia akili ya kawaida tu unadhani Lille ana uwezo wakumfunga Chelsea kesho?
 
Reece bado hajaprove Kuwa ni beki wa kumtumainia! Still ana safari ndefu! Kibaya zaidi namhisi ni New version ya Aroan Wan Bissaka ambaye anajua only Kukaba na sio kushambulia na kucreate nafasi za kufunga, jambo ambalo ni old football.

Najua primary task ya FB ni kukaba, but mpira umebadilika.

√ Unajua kwanink Man City ukiwabana watu 3 tu (KDB, Sterling na Bernardo) unawamaliza kiurahisi?

Kwasababu mipira yote wanategemea Midfielders katika kutengeneza mashambulizi. Fullbacks zao hazikovizuri kwenye kutengeneza nafasi, Only Mendy ndiyo FB wa Man City amabaye anauwezo wa kucreate nafasi.

√ Ni sawa na Chelsea, akipotezwa Joginho na Kovacic mechi kwenu inawawia ngumu coz Fullbacks zenu haziwezi kutengeneza nafasi.

Na hii ndiyo inayotusaidia Liverpool kushinda game mara kwa mara! Tuko very shit kwenye Midfield (Hendo-Fabinho-Gini) ambao wote kwa pamoja msimu mzima hawafikishi assists hata 7 lakini tunatetengeneza nafasi nyingi za kufunga kwa sababu ya Kuwa na Fullbacks ambazo ni nzuri kwa kushambulia na kutengeneza nafasi za kufunga.

Lakini ukija kwenye kukaba Fullbacks zetu sio nzuri kivile kiasi ya kwamba Wan Bissaka ni bora Mara 10 kuliko TAA. Lakini popote pale TAA atakuwa ahead of Bissaka coz ndani ya dakika 90 Bissaka atakutengenezea Zero chance but TAA kuna uhakika wa kukutengenezea nafasi za kufunga 5+ na assist 1 au 2.

Kwahiyo sasahivi FB anapimwa zaidi kwa kushambulia kuliko kukaba Coz DM na CB wapo kucover nafasi Yake.

Reece anatakiwa aprove kwenye mashambulizi.
Huyu dogo mkuu ni tofauti na bisaka kuanzia kwenye ball control ,dribling ,patterns management etc unaweza cheza one two na Reece mpaka goli la mpinzani hauwezi kufanya hivyo na bisaka ,reece anaweza kukatisha kwenye watu watatu beki kama bisaka hawezi ,reece anachokosa ni pumzi na stamina +concetration .Kwa upande wangu namuona Marcelo wa upande wa kulia kupitia Reece unless injuries na uingeleza umuharibu ,pata muda umfuatilie huyu dogo utabadili mtazamo.
 
Back
Top Bottom