Mayala B
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 1,450
- 3,379
Asenane hawatakubaliTumchukueni Auba ake asaidizane na Tammy ..na uhakika utakuwa ni usajili bomba sana ..
Tuwape arsenal Geroud na cash kadhaa kama M8 ivi ..alafu tupite na Auba au Pepe..
Asenane hawatakubaliTumchukueni Auba ake asaidizane na Tammy ..na uhakika utakuwa ni usajili bomba sana ..
Tuwape arsenal Geroud na cash kadhaa kama M8 ivi ..alafu tupite na Auba au Pepe..
We hujasoma sayansi, ungeelewa nini maana ya asumptionsIt does not apply like this.
Kadandia kirikuu huyo hukumsoma vizuriHii habari umeitoa wapi mana me nmehangaika kote lkn cjaona habari kama hiyo? zaidi ya kwamba ndani ya saa 48 majibu yatakuwa tayari
We hujasoma sayansi, ungeelewa nini maana ya asumptions
sikuwezi bana maana sasa naona unatafuta mlango wa kuchomokeaNimesoma nini?
Sijaona mahali ulipoweka clause ya kwamba hii ni assumption!
Ndugu, Diego hakuvungiwa heshima yeyote, dogo anavunja rekodi yake asubuhi na mapema. Heshima ya mastrikers ni magoli tu wala sio sura. Kama Tammy atavuka magoli 20 ya costa hapo heshima si imevunjwa, Hata Drogba atavunjiwa heshima tu not so farAiseee hebu mpe heshima yake diego costa... Hivi wewe ulishaona Diego Costa analaumiwa kama anavolaumiwa Tammy? Hata kama Diego alikuwa hafikishi goals 20 kwa msimu? Unadhani kwanini?
Simply ni kwamba kipindi cha nyuma wanaofunga katika team walikuwa wengi tofauti na sasa...
Huenda Diego Costa angekuwa pale mbele kwa team ha sasa angekuwa hata na 15+ goals kwa team ya sasa...
Kusajili striker wa pili ni lazima hata kama Tammy ataendelea kutufungia magoli, si kuna siku ataugua au kuwa majeruhi?Lakini sokoni ni lazima kujaza nafasi za Giroud na Batshuayi.
wala siyo FAItakuwa ni FA labda..
Hii habari umeitoa wapi mana me nmehangaika kote lkn cjaona habari kama hiyo? zaidi ya kwamba ndani ya saa 48 majibu yatakuwa tayari
Baada ya January mambo yatakuwa hivi