Ahahah etty sarah yan umepanik had unakosea kuandk punguza povu ukavae nep.

Ya kwak yamekushnd kazi kufuatlia ya wenzako ndo maan wabongo mnakosa maendeleo coz ya kufuatlia ya wenzen wny maendeleo.

Na hata hvy cwez bshan na mtoto kama ww ambaye bado unavaa pampers na unajkojolea hovy ktandan
unakosa hoja unakimbilia utoto utoto mbona unaumia wakati salah amecheza chelsea wewe kama sio mwana epl pita kushoto uwezi jua tunachosema hapa either uwa unaadisiwa game zako
 
chelsea fans, we can’t let this happen. The #GoldenBoy voting is open, and currently Arsenal fans have Guendouzi in the lead with only 100 votes.
YOU CAN VOTE EVERY DAY

Mount isn’t far behind, so do your thing.
Literally takes you 5 secs to vote, without register!

VOTE HERE FOR THE MOUNT Golden Boy 2019: ecco i 20 finalisti. Vota e partecipa al sondaggio!
AND SHARE THIS MESSAGE WITH YOUR FRIENDS

Vote results: Tuttosport
 
Uyo amekosea amesema sarah badala ya salah au niny ndo walwal wa2 wa kanda ya ziwa
unakosa hoja unakimbilia utoto utoto mbona unaumia wakati salah amecheza chelsea wewe kama sio mwana epl pita kushoto uwezi jua tunachosema hapa either uwa unaadisiwa game zako
 
Tatizo lenu kubwa sana hapa nyie vitoto mkikosa hoja za kusimamia mnakomaa ktk lugha na makosa ya uandishi hahahaaa hiyo ni spelling error....na hili ni jukwaa la kitimu kidogo cha london na sio darasa la sarufi....

Hahahaaaaaaa
Umeshashndw ndo unaanz kusem spelling error sema niny wa kanda ya ziwa haujui kutofautisha kat ya l na r kwny kuandk na kuongea hamjui k2 niny back 2 school
 
Kna tujamaa Twitter walikua wanajaribu kuwafananisha Terry na VVD. Katikati ya mjadala zikatumwa hizi picha mbili mjadala ukakata hapohapo
IMG_20191018_214233.jpeg
IMG_20191018_214243.jpeg
 
Anelka sikumuelewaga alifunga magoli kiutani uitani na kuna wakati aliongozza EPL kiutaniutani kwa kufunga magoli 19, 2008/09 juu ya Ronaldo 18 na Steven Gerrad 16 na kumfanya kuwa mshindi wa Golden Boot EPL wa pili kwa magoli machache baada ya EPL ya 1997/98 na 1998/99 washindi watatu walifungana kwa magoli 18 kila mmoja

Pia ni mchezaji aliyecheza timu lukuki

1996–1997 Paris Saint-Germain
1997–1999 Arsenal
1999–2000 Real Madrid
2000–2002 Paris Saint-Germain
2001–2002 → Liverpool (loan)
2002–2005 Manchester City
2005–2006 Fenerbahçe
2006–2008 Bolton Wanderers
2008–2012 Chelsea
2012–2013 Shanghai Shenhua
2013 → Juventus (loan)
2013–2014 West Bromwich Albion
2014–2015 Mumbai City FC
 
chelsea fans, we can’t let this happen. The #GoldenBoy voting is open, and currently Arsenal fans have Guendouzi in the lead with only 100 votes.
YOU CAN VOTE EVERY DAY

Mount isn’t far behind, so do your thing.
Literally takes you 5 secs to vote, without register!

VOTE HERE FOR THE MOUNT Golden Boy 2019: ecco i 20 finalisti. Vota e partecipa al sondaggio!
AND SHARE THIS MESSAGE WITH YOUR FRIENDS

Vote results: Tuttosport
Mukiambiwa Gunnerz ni chama kubwa hamuamini hahahaaaaaa haya sasa
 
Dogo mpka sasa ana 10% ..mtu anayechuana Naye vikali ni uyu Dogo wa Arsenal ndugu Mateo ana 11% pigeni kura mazee Dogo ashinde iyo tuzo. Kura unapiga Kila Siku ..
Screenshot_20191019-050847.jpeg
Screenshot_20191019-050831.jpeg
 
Kna tujamaa Twitter walikua wanajaribu kuwafananisha Terry na VVD. Katikati ya mjadala zikatumwa hizi picha mbili mjadala ukakata hapohapoView attachment 1237589View attachment 1237590
Aise kumfananisha Terry na hawa mabeki wa Siku hiz kama uyo VVd ni dhambi kubwa sana ..uyu vvd anakutana na Tammy na Mount ndo wakumfananisha na Terry ambaye hata akina Gerald na teves walipata tabu ...uyu vvd angecheza enzi za akina JT sidhani kama angefika popote pale ...
 
chelsea fans, we can’t let this happen. The #GoldenBoy voting is open, and currently Arsenal fans have Guendouzi in the lead with only 100 votes.
YOU CAN VOTE EVERY DAY

Mount isn’t far behind, so do your thing.
Literally takes you 5 secs to vote, without register!

VOTE HERE FOR THE MOUNT Golden Boy 2019: ecco i 20 finalisti. Vota e partecipa al sondaggio!
AND SHARE THIS MESSAGE WITH YOUR FRIENDS

Vote results: Tuttosport
Ingia hapo upambane na kiitaliano
Mason Mount anashinda. Tupe UTARATIBU WA KUMPIGIA KURA
 
Nakumbuka mwaka Huo ndio Chelsea ilikuwa imefunga magoal mengi kuliko team yoyote ya epl.ilikuwa Chelsea imefunga magoal machache sana ni 3 the rest walikuwa wanapigwa goal 7,4,5,6,8 na kipindi hiki hiki wigan alipigwa goal 8 na chelsea.kipindi hicho kilinifanya niwe rasmi mchabiki wa Chelsea mwanzoni nilikuwa naipenda Chelsea lakini sikuwa mshabiki kindakindaki.Hiki kikosi kilikuwa Bora Sana.
 
Back
Top Bottom