Courtois wa Chelsea siyo huyu wa Madrid

Courtoise na Hazard wanafuata nyayo za Coutinho

Coutinho ilikiwa kila Gazeti linalotoka Ulaya, Asia, America, Latin America na Africa basi utamkuta Front Page na anapewa jina la "Little Magician "

Akapiga mahesabuakahisi kwa anavyotajwa kuhusu ubora wake basi Akienda Barcelona atakuwa Mkali Zaidi na kufikia Level za kina MESSI, CR7 na NEYMAR na atabeba CL Msimu wake wa Kwanza na atabeba Ballon D'or.

Hatimae Coutinho sasahivi hata kwenye vigazeti vya Udaku Mwanasport na Dimba simuoni kitajwa.
Kapotea mazima wala hahesabiki tena kama ni miongoni mwa Top 20 best player in the World. Wakati yupo Liverpool alikuwa ndani ya Top 5.

Na huyu Hazard naona kashaanza kuzimika kidogokidogo! Yale mazoe ya kisikia jina lake kila wakati yameshaondoka
 
Kuna Watu Wanadharau yani!

71185488_10156044392410666_8875721814660087808_n.jpg
 
Tatizo aliondoka kwa jeuri darajani. Hakuwa na staha wala ustaarabu. Sasa hivi anataka ashirikiane na Kazard eamvute Kante. Sasa wanataka kuifanya Chelsea kama sale shop ya Madrid
Hapo kwa Ngolo Kante haiwezi kuwa rahisi kama walivyoondoka wao. Kwanza Kante amebakiza mkataba mrefu, itabidi iwatoke kama £300m ndio wamchukue kitu ambacho sio rahisi
 
Courtoise na Hazard wanafuata nyayo za Coutinho

Coutinho ilikiwa kila Gazeti linalotoka Ulaya, Asia, America, Latin America na Africa basi utamkuta Front Page na anapewa jina la "Little Magician "

Akapiga mahesabuakahisi kwa anavyotajwa kuhusu ubora wake basi Akienda Barcelona atakuwa Mkali Zaidi na kufikia Level za kina MESSI, CR7 na NEYMAR na atabeba CL Msimu wake wa Kwanza na atabeba Ballon D'or.

Hatimae Coutinho sasahivi hata kwenye vigazeti vya Udaku Mwanasport na Dimba simuoni kitajwa.
Kapotea mazima wala hahesabiki tena kama ni miongoni mwa Top 20 best player in the World. Wakati yupo Liverpool alikuwa ndani ya Top 5.

Na huyu Hazard naona kashaanza kuzimika kidogokidogo! Yale mazoe ya kisikia jina lake kila wakati yameshaondoka
Hazard simlaumu kabisa kwa sababu at least yeye aliondoka kistaarabu ninaye muona nyoka ni Courtois kwa kuidharau timu halafu anashiriki kumshawishi Hazard waunganishe nguvu ili wamvute Kante Madrid. Jeuri imemponza sasa ivi hakuna anachofanya wanapiga migoli kama kipa wa U20.
 
Baada ya kuanza ligi vizuri sasa Uongozi wa Chelsea wako kwenye mazunguzmo ya mkataba mpya wa miaka mitano na akina Tammy Abraham pamoja na Fikayo Tomori
 
Hapo kwa Ngolo Kante haiwezi kuwa rahisi kama walivyoondoka wao. Kwanza Kante amebakiza mkataba mrefu, itabidi iwatoke kama £300m ndio wamchukue kitu ambacho sio rahisi

Naona Kama Humjui Perez wewe!
Kamuulize Mino Raiola ujanja wake wote kuwakaanga Man U tokea enzi za Fagi basi kakwama kwa Perez.

Perez akimkazia Kante basi moja kwa moja kwanza anatinga kwa Wazazi (Baba & Mama)

Akimaliza hapo anatinga kwa Mke/Girl Friend

Akimaliza hapo anatinga kwa Ndugu na Majamaa

Akimalizi hapo anakuja kwa marafiki wako wote

Akishamalizana na Hao anatinga kwako Mchezaji mwenyewe moja kwa moja.

Hapo unaanza kusikia Tafrani kutoka kwa wazazi, Ndugu, Jamaa na Marafiki kukishawishi kwa kila aina ya sifa uende Spain,
Then Media kila dakika upo Front page zinakuzungumzia kuhama.

At the sametime Wife/Girl fried anakuandama kila dakika "Baby I'm tired to Live at London" "Huu mji haunivutii hata" Let's go Madrid baby! Its a historic City"...

Siku ya pili asubuhi maneno muliyozungumza chumbani unayakuta kwenye Magazeti.

Baada ya Msimu mmoja Perez anakunasa kiulaini.
 
Nimesikia kutoka Anfield sources kuwa Liverpool wanafanyia mazoezi mbinu za kupaki mabasi wakija darajani jumapili hii
4-3-3 Liverpool’s predicted line-up vs Chelsea: Reds to go defensive at the Bridge?
Starting XI: Adrian; Robertson, Van Dijk, Matip, Alexander-Arnold; Fabinho, Wijnaldum, Henderson; Salah, Firmino, Mane.
 
Naona Kama Humjui Perez wewe!
Kamuulize Mino Raiola ujanja wake wote kuwakaanga Man U tokea enzi za Fagi basi kakwama kwa Perez.

Perez akimkazia Kante basi moja kwa moja kwanza anatinga kwa Wazazi (Baba & Mama)

Akimaliza hapo anatinga kwa Mke/Girl Friend

Akimaliza hapo anatinga kwa Ndugu na Majamaa

Akimalizi hapo anakuja kwa marafiki wako wote

Akishamalizana na Hao anatinga kwako Mchezaji mwenyewe moja kwa moja.

Hapo unaanza kusikia Tafrani kutoka kwa wazazi, Ndugu, Jamaa na Marafiki kukishawishi kwa kila aina ya sifa uende Spain,
Then Media kila dakika upo Front page zinakuzungumzia kuhama.

At the sametime Wife/Girl fried anakuandama kila dakika "Baby I'm tired to Live at London" "Huu mji haunivutii hata" Let's go Madrid baby! Its a historic City"...

Siku ya pili asubuhi maneno muliyozungumza chumbani unayakuta kwenye Magazeti.

Baada ya Msimu mmoja Perez anakunasa kiulaini.
Duuuh! Hii ni hatari zaidi ya hatari, lakini hata hivyo Madrid bado ni kivutiio kwa wachezaji wengi.
 
Naona Kama Humjui Perez wewe!
Kamuulize Mino Raiola ujanja wake wote kuwakaanga Man U tokea enzi za Fagi basi kakwama kwa Perez.

Perez akimkazia Kante basi moja kwa moja kwanza anatinga kwa Wazazi (Baba & Mama)

Akimaliza hapo anatinga kwa Mke/Girl Friend

Akimaliza hapo anatinga kwa Ndugu na Majamaa

Akimalizi hapo anakuja kwa marafiki wako wote

Akishamalizana na Hao anatinga kwako Mchezaji mwenyewe moja kwa moja.

Hapo unaanza kusikia Tafrani kutoka kwa wazazi, Ndugu, Jamaa na Marafiki kukishawishi kwa kila aina ya sifa uende Spain,
Then Media kila dakika upo Front page zinakuzungumzia kuhama.

At the sametime Wife/Girl fried anakuandama kila dakika "Baby I'm tired to Live at London" "Huu mji haunivutii hata" Let's go Madrid baby! Its a historic City"...

Siku ya pili asubuhi maneno muliyozungumza chumbani unayakuta kwenye Magazeti.

Baada ya Msimu mmoja Perez anakunasa kiulaini.
Ndio tunamjua huyo mzee ana mbinu za kushawishi na alifanikiwa kwa Hazard na Courtois kwa sababu Chelsea walikua kwenye presure ya kuwauza ikihofia wasiondoke free. Ila kwa Kante ni vigumu mbona Man u walifanikiwa kumbania kwa De Gea tena dk za mwisho, hata Chelsea hatashindwa
 
Chelsea wakiwa sokoni hakuna timu inaweza kushindanna nao
Liverpool kwa mfano
  1. Liverpool walishindwa kumsajili Mo salah 2014 akachukuliwa na Chelsea mpaka hapo baadaye Salah alipoondoka baada ya kukosa muda wa kutosha kwenye First XI
  2. Willian 2013 pia Chelsea walimyakua mdomoni mwa Liverpool
  3. Remy 2014 alikuwa anaingia Anfield na dakika ya mwisho wababe wa manunuzi wakiingilia kati na kumdaka
  4. 2013 tena Liverpool walikuwa wamsajili Diego Costa kutoka A Madrid lakini Chelsea hao wakadaka jembe mwaka 2014
  5. 2017 Liverpol walikuwa wamsajili Emerson lakini wakashindwa bei ya karibu mil 20 wakaamua kwenda kwa Roberston wa mil 8 na Chelsea mwaka uliofuata wao wakamchukua kwa mil 18
  6. Klopp alikuwa ni mpenzi sana wa Pulisic na alipohamia Liverpool ilikuwa wamchukue kama winger wao lakini baada ya form ya Mane na Salah kuwa juu wakaamua kumuacha Chelsea wao wakaingi na mihela kibao
Wao Liverpool wakatupiga kibao kwa VVD ambaye Chelsea walikwishamuweka kwenye radar kama replacement ya akina Terry - Soo bad tungempata huyo Leo hii tungekuwa tunacompete kwenye tittle race
 
Mason Mount

Taarifa zinasema Mount hakupoata majeraha mabaya kwenye ankle yake kwa hiyo asipocheza mechi na Liverpool hiyo nyingine atakuwepo
Jumatano alikuwepo kwenye mazoezi na wachezaji wengine akifanya mazoezi nyepesi nyepesi
 
Ndio tunamjua huyo mzee ana mbinu za kushawishi na alifanikiwa kwa Hazard na Courtois kwa sababu Chelsea walikua kwenye presure ya kuwauza ikihofia wasiondoke free. Ila kwa Kante ni vigumu mbona Man u walifanikiwa kumbania kwa De Gea tena dk za mwisho, hata Chelsea hatashindwa
Man u hana ubavu wa kuzuia mchezaji kwa Perez , man alichofanya alichelewesha paperwork kama sikosei ,muda ukaisha ,ila degea alishaelekea madrid
 
Back
Top Bottom