Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,457
- 27,104
Courtois wa Chelsea siyo huyu wa Madrid
Courtoise na Hazard wanafuata nyayo za Coutinho
Coutinho ilikiwa kila Gazeti linalotoka Ulaya, Asia, America, Latin America na Africa basi utamkuta Front Page na anapewa jina la "Little Magician "
Akapiga mahesabuakahisi kwa anavyotajwa kuhusu ubora wake basi Akienda Barcelona atakuwa Mkali Zaidi na kufikia Level za kina MESSI, CR7 na NEYMAR na atabeba CL Msimu wake wa Kwanza na atabeba Ballon D'or.
Hatimae Coutinho sasahivi hata kwenye vigazeti vya Udaku Mwanasport na Dimba simuoni kitajwa.
Kapotea mazima wala hahesabiki tena kama ni miongoni mwa Top 20 best player in the World. Wakati yupo Liverpool alikuwa ndani ya Top 5.
Na huyu Hazard naona kashaanza kuzimika kidogokidogo! Yale mazoe ya kisikia jina lake kila wakati yameshaondoka