Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,504
- 28,691
Top 3 ya wapi , kepa lini kani prove wrong?Hivi we jamaa huchoki? Huoni aibu mzee? Ni mara ngap Kepsa kakuprove wrong na unakimbia husemi chochote kwake. Rekodi za msimu uliopita alikua top three ya magolikipa ambapo hata Leno hakuwemo. Sasa msimu huu umeanza naona kampeni imeanza tena. Naomba uje umfanyie takwimu mwisho wa msimu pia usimsahau na Leno
Usimfananishe kepa na Leno mikono buku
Hivi Mara ya mwisho kupata cleansheet kepa ni lini?
Kepa ndio kipa ambaye hata Chelsea ikicheza na GWAMBINA YA PASTA ATHANAS INA uhakika wa kuondoka na goli.