Leo tunaanza ukurasa mpya wa mashindano ya Ulaya. Jumapili sina wasiwasi kabisa
Yaas Jmapili ntakua naisupport leicester city pia ...hapa AYOZE PEREZ, hapa TIELEMANS, hapa VARDY, pale NDIDI, wewe lazima wakalishwe tu.
 
Naona kocha wako kaweka kila machine na bado nakuhakikishia hii mechi haitakuwa rahisi
Leo tuna Kajimickey Mouse cup tunakwenda kukipigia Jaramba... Vijikombe hivi vya Mbuzi ilikuwa wagaiwe tu Chelsea haina haja ya kuchokesha wachezaji wetu.
 
Kikosi chetu leo hicho hapo. Hii mechi haitakuwa ya kitoto. Nina imani kubwa na Lampard
Screenshot_20190814-210242.jpeg
 
Hilo limekaa kisiasa wewe acha porojo bhana. Man City analipa 350k shughuli imeisha hapigwi ban lakin sisi tunachukuliwa serious kwa sababu ya boss.

Nenda kasome historia ya Roman Abramovich The Bold kaiandika. Mtafute humuhumu JF.
Naijua mkuu ,na naweza kukueleza kwann PSG na man city hawafungiwi na UEFA licha ya kuvunja sheria
 
The opposite is true, Arsenal maji yakishachafukwa unajipiga ban ukitokea visingizio debe, mara majukumu ya kazini, mara nilikuwa field
Newcastle kawapa moja, hao wengine ni suprise
Lembu tulia weye ,nilikuwa na project kipind kile ilishaisha ,mm sijipigagi ban ,ila nakaaga pemben nawaacha mbwabwaje
 
Mkuu fuatilia tena kiundani zaidi. Kosa haijalishi umefanya mara ngap adhabu ni moja tu. Haya ni mambo ya kisiasa
PSG anavunja sheria na anaachwa kwakuwa anaidhamin UEFA kupitia bein sport na mmiliki wa PSG Nasser anaingia kwenye camitee ya UEFA ,vivyo mansoor wa macity wana makampuni yanayoifhamin UEFA hivo si rahis kufungiwa ,

Kama kweli sheria ingefata mkondo wake , man city na PSG hawatakiwi kucheza UCL msimu huu, lkn ac milan kapigwa ban ,Chelsea wamempiga ban.


Chelsea are following developments at Manchester City with interest after the Premier League champions avoided a transfer ban for breaching rules on under-18 signings, Sky Sports News understands.
 
Chelsea 4-3-3
Liverpool 4-3-3
Kante yuko nafasi yake
Kepa
Aspi
Christinsen
Zouma
Emerson
Jorginho
Kante
Kovacic
Pedro
Giroud
Pulisic
 
Juzi mtoto mzuri Ollachuga Oc kanipigia simu si nikaanza kumuimbisha mashairi kama hivi...

Baby ujue nakupenda, kama matta anavyoipenda man u,
Linda letu penzi kama de gea anavolinda nyavu,
Ufiche zetu siri,kama Maguire alivozificha fowadi za Chelsea,
Vishoka wakimbie,kama luiz alivowakimbia Chelsea.
Usiwe na tamaa na vitu,kama hazard
Usiwe tapeli wa mapenzi,kama Bilbao walivoitapeli Chelsea,
Wapambe wasikupelekeshe,kama zuma alivokuwa anapelekwshwa na Rashford,
Baby usiwe mzembe,kama kepa na magoli,
Baby uwe mtiifu kwangu,kama mpira na pogba,
Tumia akili kwa kila maamuzi,usitumie nguvu kama zouma
Baby nimelimiss penzi lako tamu, kama assist za pogba kwa Chelsea
Naahidi ntakutunza kama bissaka na rasta..mwaaahView attachment 1181112
Tulia wewe bebeni kwanza Europa ndo uje na ayo maneno yako ya kwenye kanga..
 
Back
Top Bottom