Hahaaaaa kwahiyo mm ndio napiga porojo tena? Umesahau juz hapa nakuhakikishia msimu huu huna timu, una kaza shingo
Nadhani nsiko peke angu ambaye hatuelewi unaposema sina timu. Hebu subiri upate mechi za changamoto ndio utajielewa vizuri.

Mechi moja ya point 3 ndio unanipigia kelele ivi? Teh
 
Leo tuna Kajimickey Mouse cup tunakwenda kukipigia Jaramba... Vijikombe hivi vya Mbuzi ilikuwa wagaiwe tu Chelsea haina haja ya kuchokesha wachezaji wetu.
 
Mancity lazima waepuke ban ,ila Chelsea ni timu ya ujanjaujanja .
Hilo limekaa kisiasa wewe acha porojo bhana. Man City analipa 350k shughuli imeisha hapigwi ban lakin sisi tunachukuliwa serious kwa sababu ya boss.

Nenda kasome historia ya Roman Abramovich The Bold kaiandika. Mtafute humuhumu JF.
 
Huu ndio muda mzuri wakupiga porojo maana baadae hutaonekana humu, ukirud wiki end kuna Leicester unabamizwa tena

Hivo jitahid kupiga porojo kwa nguvu zote
The opposite is true, Arsenal maji yakishachafukwa unajipiga ban ukitokea visingizio debe, mara majukumu ya kazini, mara nilikuwa field
Newcastle kawapa moja, hao wengine ni suprise
 
Leo tuna Kajimickey Mouse cup tunakwenda kukipigia Jaramba... Vijikombe hivi vya Mbuzi ilikuwa wagaiwe tu Chelsea haina haja ya kuchokesha wachezaji wetu.
Hivi Ngwaba wewe una umri gani??. Ukiwa mtu mzima utasema ila ukiwa kinder hutasema
 
Leo tuna Kajimickey Mouse cup tunakwenda kukipigia Jaramba... Vijikombe hivi vya Mbuzi ilikuwa wagaiwe tu Chelsea haina haja ya kuchokesha wachezaji wetu.
Unakosea ilibidi wapewe Arsenal wakajitahidi kila msimu wanashindwa sasa kutowakatisha tamaa na kuwaonyesha tunatambua mchango wao ni kuwapa bure ili walau na wao wanukie wasijisikie vibaya. Kuliko kuwachosha kina Mount na Jorginho
 
Ccm walishachukua akili zako zote , hapo ulipo sio wewe

Natarajia Leo hadi next games ni maumivu tu
Kabisa kama wananipa fursa ya kutumia hata kodi yako unayokatwa kwenye mkeka siwaachi kabisa ,kidumu chama dume CCM na idumu Chelsea the Blues
 
Hilo limekaa kisiasa wewe acha porojo bhana. Man City analipa 350k shughuli imeisha hapigwi ban lakin sisi tunachukuliwa serious kwa sababu ya boss.

Nenda kasome historia ya Roman Abramovich The Bold kaiandika. Mtafute humuhumu JF.
Chelsea amevunja sheria hii mara 29
City mara 2 tu tena kabla ya marekebisho kuwekwa wazi.
Nadhan ndio sababu.
 
Tumefungwa 4-0 na Bournemouth msimu uliopita na Luiz akiwepo. Unachopaswa kujua beki wa kuaminika wakati wote kwa Chelsea ni Rudiger na Azipillicueta. Hawa ndo wameibeba timu kiulinzi kwa misimu kadhaa. Luiz amefanya kazi kubwa ya kuchezesha ila siyo solid defender without the ball. So mchango wa Luiz umekuwa mkubwa sana kwa maana hiyo
Sio kila siku jumapili , usichokijua timu nying zilikuwa hazipand sana kwakuwa mlikuwa na hazard na ukuta mzur wa luiz, ndio maana mwanzo aliokotaokota cleansheet ,

Msimu huu siumeona toka preseason mnatoa 3+ tu

Mm nashukuru mnanipa hela na leo nasema 3+
 
Kombe linapiganiwa na Mabingwa wa Ulaya unasema mickey mouse? Ndo maana nikifuatiliaga profile yko huwa silaumu kwa unayoandika humu
Leo tuna Kajimickey Mouse cup tunakwenda kukipigia Jaramba... Vijikombe hivi vya Mbuzi ilikuwa wagaiwe tu Chelsea haina haja ya kuchokesha wachezaji wetu.
 
Kuanzia leo hataonekana humu
The opposite is true, Arsenal maji yakishachafukwa unajipiga ban ukitokea visingizio debe, mara majukumu ya kazini, mara nilikuwa field
Newcastle kawapa moja, hao wengine ni suprise
 
Unakosea ilibidi wapewe Arsenal wakajitahidi kila msimu wanashindwa sasa kutowakatisha tamaa na kuwaonyesha tunatambua mchango wao ni kuwapa bure ili walau na wao wanukie wasijisikie vibaya. Kuliko kuwachosha kina Mount na Jorginho
Nafikiri leo Mount hatacheza kwa ajili ya mechi ya J2. Leo Giroud lazima aanze
 
Kuna mtu kashajipiga BAN hata mechi haijachezwa, haaahahaha! Liverpool kazi kazi kwa hawa watoto nazinazi.

YOU WILL NEVER WALK ALONE
 
Arsenal mnashindwa kuwa washindani Ulaya mnasubiri mwashabikie wanaume wenzenu
Yaas Jmapili ntakua naisupport leicester city pia ...hapa AYOZE PEREZ, hapa TIELEMANS, hapa VARDY, pale NDIDI, wewe lazima wakalishwe tu.
 
Back
Top Bottom