hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,642
- 19,017
Kwan tatizo nini Leo mjiandae kujipiga banarsenal have never won UCL
Kwan tatizo nini Leo mjiandae kujipiga banarsenal have never won UCL
AROON na hamis77 ni mtu mmoja maana utoto mwingi alafu miandiko inafanana. Maneno mengi lakini pointless. Baada ya EUROPA mbona ulipoteana? Arsenal imefanya nn tangu uanze kuishabikia?Mwaka huu kujipiga ban hazitaisha humu , eti beki Zuma hahahahahahahhahah
Even astonvilla won UCL but Chelsea has small club compared to astonvilla ,but remember all London clubs are small to arsenalarsenal have never won UCL
Hujui mpiraKante nilimuonea imani sana ile mechi ya Man u, kwa kiwango chake na chelsea hii ya lampard, ...wastage of talent in his prime.
Naona bado una hangover za kipigo cha 4-0 juzi kwahiyo endelea kuweweseka maana Leo unaeekwa nyingine 4.AROON na hamis77 ni mtu mmoja maana utoto mwingi alafu miandiko inafanana. Maneno mengi lakini pointless. Baada ya EUROPA mbona ulipoteana? Arsenal imefanya nn tangu uanze kuishabikia?
Maisha yenu ni yale yale. Mnaanza kwa vikelele vya kitoto ila kabla ya mwaka mpya hata vibanda umiza mnaancha kwenda kuangalia mechi
Mpo vzr kwenye kuachia mabao manne tena leoChelsea tupo vizuri sana leo
Ukisikia vimbwanga ndio hivi ,jifunze kutumia neno HADHI kisha ulete sarakasi za Samaki nchi kavu .Hiyo super cup Leo unabondwa, ww inakuhitaji miaka 100 ufike hadhi na level za Arsenal , hivi unajua hata astonvilla hujamfikia kwa hadhi? Na msimu huu wanakushusha daraja
Ccm walishachukua akili zako zote , hapo ulipo sio weweUkisikia vimbwanga ndio hivi ,jifunze kutumia neno HADHI kisha ulete sarakasi za Samaki nchi kavu .
Mpo vzr kwenye kuachia mabao manne tena leo
Haijalishi ,labda ubgeniletea sheria lazima ubebe UEFA ,Hadhi ya Arsenal haijawahi kubeba kombe la UEFA CHAMPION.
Una mbwembwe nyingi ndg. Inaonekana unaichukulia poa sana Chelsea.Chelsea kwa ka kikosi kenu haka ,msimu huu kuna mechi mtakuja kula 7-0, 10-0
Siku zote huwa nasema muda ni rafiki mzuri ,
Nilipowaambieni mtakula 3+ mliniona nadanganya ,haya Siku si nyingi mtachezea 7-0, au 10-0 ,
Mjumbe hauwawi
Twende taratibuUna mbwembwe nyingi ndg. Inaonekana unaichukulia poa sana Chelsea.
Toka lini mtu akapigana kutoka juu kwenda chini? Unahitaji kofi la kichwa kurestore settings za kichwa.Hiyo super cup Leo unabondwa, ww inakuhitaji miaka 100 ufike hadhi na level za Arsenal , hivi unajua hata astonvilla hujamfikia kwa hadhi? Na msimu huu wanakushusha daraja