Wewe una majibu ya dharau
Mkuu tukiwaacha humu watambe wanapiga kelele sana fikiria kama wanayo team walipaswa kucheza Super Cup Leo ,tutawakabiri nyumba kwa nyumba,mlango kwa mlango ,kitanda kwa kitanda hautuwezi kuona team yetu ikizomewa na team ya 5 EPL .
 
Hiyo super cup Leo unabondwa, ww inakuhitaji miaka 100 ufike hadhi na level za Arsenal , hivi unajua hata astonvilla hujamfikia kwa hadhi? Na msimu huu wanakushusha daraja
 
Juzi motto mzuri kanipigia simu si nikaanza kumuimbisha mashairi kama hivi...

Baby ujue nakupenda, kama matta anavyoipenda man u,
Linda letu penzi kama de gea anavolinda nyavu,
Ufiche zetu siri,kama Maguire alivozificha fowadi za Chelsea,
Vishoka wakimbie,kama luiz alivowakimbia Chelsea.
Usiwe na tamaa na vitu,kama hazard
Usiwe tapeli wa mapenzi,kama Bilbao walivoitapeli Chelsea,
Wapambe wasikupelekeshe,kama zuma alivokuwa anapelekwshwa na Rashford,
Baby usiwe mzembe,kama kepa na magoli,
Baby uwe mtiifu kwangu,kama mpira na pogba,
Tumia akili kwa kila maamuzi,usitumie nguvu kama zouma
Baby nimelimiss penzi lako tamu, kama assist za pogba kwa Chelsea
Naahidi ntakutunza kama bissaka na rasta..mwaaah
FB_IMG_1565706584062.jpeg
 
Unamuongelea arsenal ambae UCL antazmga picha z tuzo tu
Hiyo super cup Leo unabondwa, ww inakuhitaji miaka 100 ufike hadhi na level za Arsenal , hivi unajua hata astonvilla hujamfikia kwa hadhi? Na msimu huu wanakushusha daraja
 
Leo Teja Kuti Zouma na kepa watachomoa Betri kwa Mara nyingne,,kitakachofuata ni moto na vilio tu huko zizini...yajayo yanasikitisha

Hakika ..Lampard Utatuua Na Presha
FB_IMG_1565705945703.jpeg
 
Mpaka kufikia leo super cup pazia kepa atakuwa ameruhusu goli nane katika mechi mbili mfululizo (namaaisha kwamba kuna nne nyingne anakwenda kupigwa leo super cup)..hapo ndio tutajua kwamba Bilbao sio wajinga kuwatapeli cheltako kiasi kile cha pesa...na mpaka kufikia mwisho wa msimu pazia kepa atakuwa kipa alieruhusu magoli mengi kunako EPL.

Pichani ni lampard akiongea na waandishi wa habari kuhusu kipigo cha bao 4
FB_IMG_1565765952520.jpeg
 
Mashabiki wa Arsenal ni wakimbizi, wamejazana huko Liverpool na Mancity na wengine wamejificha
Baada ya usajili wa Pepe wachache wameamua kujitokeza kimya kimya
 
Umeamua kujifariji kwa maneno hayo

Haya jifariji ila Leo mnabondwa tena ,

Msimu huu vipigo havitakauka humu hadi mnashushwa daraja
 
Juzi mtoto mzuri Ollachuga Oc kanipigia simu si nikaanza kumuimbisha mashairi kama hivi...

Baby ujue nakupenda, kama matta anavyoipenda man u,
Linda letu penzi kama de gea anavolinda nyavu,
Ufiche zetu siri,kama Maguire alivozificha fowadi za Chelsea,
Vishoka wakimbie,kama luiz alivowakimbia Chelsea.
Usiwe na tamaa na vitu,kama hazard
Usiwe tapeli wa mapenzi,kama Bilbao walivoitapeli Chelsea,
Wapambe wasikupelekeshe,kama zuma alivokuwa anapelekwshwa na Rashford,
Baby usiwe mzembe,kama kepa na magoli,
Baby uwe mtiifu kwangu,kama mpira na pogba,
Tumia akili kwa kila maamuzi,usitumie nguvu kama zouma
Baby nimelimiss penzi lako tamu, kama assist za pogba kwa Chelsea
Naahidi ntakutunza kama bissaka na rasta..mwaaah
FB_IMG_1565706702674.jpeg
 
Hiyo super cup Leo unabondwa, ww inakuhitaji miaka 100 ufike hadhi na level za Arsenal , hivi unajua hata astonvilla hujamfikia kwa hadhi? Na msimu huu wanakushusha daraja
arsenal have never won UCL
 
153 Reactions
Reply
Back
Top Bottom