Hii team ina players dhaifu Sana alafu mashabiki wake ndio dhaifu kabisa naiona hii team mashabiki zake wakilia lia kama wanawake
 
Mara nyingi sana tumeanza misimu kwa kuunga unga ila mwishoni tuna maliza na kitu mkononi, makwapa yananyanyuka ..mimi nina uhakika Arsenal utaendelea kuwa mshindani mzuri sana ila makombe tutabeba sisi hahahahahaha..

Chelseaaaaaaaaaa
Nasemaje kesho usipojipiga BAN naomba nipigwe BAN Mimi, we shabiki gani unakimbia changamoto za timu lako, Haahahaaah!
 
Msimu mtajipiga sana ban,huwez fananisha ceballos ,toreira na mido zako hizo, mechi na man u pogba anagongeana pass hadi goli utasema una kiungo ,ww una kante tu na yeye ameshaanza kuwa muhuzuriaji mzuri wa hospitali ,msimu huu nafas ya 10 ni Yenu
Kante nilimuonea imani sana ile mechi ya Man u, kwa kiwango chake na chelsea hii ya lampard, ...wastage of talent in his prime.
 
Hii team ina players dhaifu Sana alafu mashabiki wake ndio dhaifu kabisa naiona hii team mashabiki zake wakilia lia kama wanawake
Taja team yako imara kama ni Arsenal hauna Team maana utakaa trophiless mpaka mwisho wa dunia
 
Hakuna raha duniani kama kucheza Super Cup na nafasi ulipata Kwa kuipiga Arsenal nyoronyoro vyuma 4-1 pale BAKU ,kisha hasira zao wanazi hamisha kwa kila team inayocheza na Chelsea ,huu ndio unyonge wa akili

Wewe una majibu ya dharau
 
153 Reactions
Reply
Back
Top Bottom