Kepa kumpiku rasmi De Gea kama golie no 1 kwa timu ya taifa ya Spain

Kwa Msimu huu wa Kuwania Mshahara kiwango alichoonesha De Gea hata akija Simba SC hawezi kuekwa golini.. Lakini subiri apewe mshahara anaoutaka pale Man U atie saini Mkataba mpya uone mziki wake! Kepa lazima awe mpenzi Mtazamaji kwenye Benchi.
 
Kwa Msimu huu wa Kuwania Mshahara kiwango alichoonesha De Gea hata akija Simba SC hawezi kuekwa golini.. Lakini subiri apewe mshahara anaoutaka pale Man U atie saini Mkataba mpya uone mziki wake! Kepa lazima awe mpenzi Mtazamaji kwenye Benchi.
Kepa ni mdogo bado, damu inachemka anataka kuwa bora zaidi kwenye lango la milingoti mitatu, japo ni msimu wake wa kwanza lakini katuonyesha kuwa anaelekea kuwa kipa bora duniani kwa umri wake alionao.
 
Kwa Msimu huu wa Kuwania Mshahara kiwango alichoonesha De Gea hata akija Simba SC hawezi kuekwa golini.. Lakini subiri apewe mshahara anaoutaka pale Man U atie saini Mkataba mpya uone mziki wake! Kepa lazima awe mpenzi Mtazamaji kwenye Benchi.
Sio lazima iwe sababu na pia sio guaranteed atarudi kwenye fomu hata kama akipewa mshahara mkubwa ukichukulia kuwa haelekei kuwa kijana tena ktk miaka yake 28
 
Top six first 3. #EPLFixture
Screenshot_20190613-110928~2.jpeg
 
RATIBA HIYO IMETOKA

Chelsea's Premier League fixtures - 2019/20
Sun Aug 11
Manchester United
Away
Sat Aug 17
Leicester City
Home
Sat Aug 24
Norwich City
Away
Sat Aug 31
Sheffield United
Home
Sat Sep 14
Wolverhampton Wanderers
Away
Sat Sep 21
Liverpool
Home
Sat Sep 28
Brighton and Hove Albion
Home
Sat Oct 5
Southampton
Away
Sat Oct 19
Newcastle United
Home
Sat Oct 26
Burnley
Away
Sat Nov 2
Watford
Away
Sat Nov 9
Crystal Palace
Home
Sat Nov 23
Manchester City
Away
Sat Nov 30
West Ham United
Home
Wed Dec 4
Aston Villa
Home
Sat Dec 7
Everton
Away
Sat Dec 14
Bournemouth
Home
Sat Dec 21
Tottenham Hotspur
Away
Thu Dec 26
Southampton
Home
Sat Dec 28
Arsenal
Away
Wed Jan 1
Brighton and Hove Albion
Away
Sat Jan 11
Burnley
Home
Sat Jan 18
Newcastle United
Away
Wed Jan 22
Arsenal
Home
Sat Feb 1
Leicester City
Away
Match to be played Sat Feb 8 or Sat 15 Feb
Manchester United
Home
Sat Feb 22
Tottenham Hotspur
Home
Sat Feb 29
Bournemouth
Away
Sat Mar 7
Everton
Home
Sat Mar 14
Aston Villa
Away
Sat Mar 21
Manchester City
Home
Sat Apr 4
West Ham United
Away
Sat Apr 11
Watford
Home
Sat Apr 18
Crystal Palace
Away
Sat Apr 25
Sheffield United
Away
Sat May 2
Norwich City
Home
Sat May 9
Liverpool
Away
Sun May 17
Wolverhampton Wanderers
Home
 
Jamaa anamsifia kweli Zouma na anamfananisha na VVD!!
Jamaa kawalelezea vizuri wachezaji wa mkopo ambao wanaweza kuifanya Chelsea iwe imara msimu ujao

 
Naona wananunua makinda kujenda team
Ndo njia tuliyonayo msimu huu lakini pia yanaweza kuwa maandalizi kwa ajili ya Lampard.

Kwa kipindi hiki Sarri angetufaa zaidi kuliko kocha mwingine mpya japo piq Lampard siyo mbaya.
Lampard ni mzuri katika kumotivate wachezaji na atakuwa na power ya ku-control dress room. Anaifahamu klub kuliko mtu yoyote aliyepo kwa sasa Chelsea labda mmiliki , Zola na Gudicin na sauti yake itakuwa na nguvu kuliko mchezaji yeyote kutokana pia na ukweli kwamba anaheshimika kwenye klub.

Lampard anapenda mpira wa kushambulia na kunyanganya mpira kwa haraka ( kuwa aggressive)pale timu pinzani inapokuwa na mpira. Anawaamini vijana wenye vipaji japo wengi tuna wasiwasi na uzoefu wake hasa ukizingatia Chelsea ina baadhi ya mashabiki wenye uelewa mdogo ambao wao timu ikifanya vibaya tu wanataka kocha afukuzwe.

Hii ni tofauti na mambo yalivyokuwa pale Derby Country. So katika presha ya namna hii inaweza kuwa ngumu kwake kuimiri presha kutokana na kukosa uzoefu.
 
Back
Top Bottom