OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,118
- 24,047
Nani amekwambia wanataka kuondoka, walikupigia simu???Poleni sana, Sifikiri kama atawaacha kabisa, Na wote hawataki kukaa. Labda muwabane na kuwalazimisha kwa mikataba yao.
Nani amekwambia wanataka kuondoka, walikupigia simu???Poleni sana, Sifikiri kama atawaacha kabisa, Na wote hawataki kukaa. Labda muwabane na kuwalazimisha kwa mikataba yao.
Nani amekwambia wanataka kuondoka, walikupigia simu???
De gea msimu huu alikuwa pazia tuKepa kumpiku rasmi De Gea kama golie no 1 kwa timu ya taifa ya Spain
Kepa kumpiku rasmi De Gea kama golie no 1 kwa timu ya taifa ya Spain
Kepa kumpiku rasmi De Gea kama golie no 1 kwa timu ya taifa ya Spain
Kepa ni mdogo bado, damu inachemka anataka kuwa bora zaidi kwenye lango la milingoti mitatu, japo ni msimu wake wa kwanza lakini katuonyesha kuwa anaelekea kuwa kipa bora duniani kwa umri wake alionao.Kwa Msimu huu wa Kuwania Mshahara kiwango alichoonesha De Gea hata akija Simba SC hawezi kuekwa golini.. Lakini subiri apewe mshahara anaoutaka pale Man U atie saini Mkataba mpya uone mziki wake! Kepa lazima awe mpenzi Mtazamaji kwenye Benchi.
Sio lazima iwe sababu na pia sio guaranteed atarudi kwenye fomu hata kama akipewa mshahara mkubwa ukichukulia kuwa haelekei kuwa kijana tena ktk miaka yake 28Kwa Msimu huu wa Kuwania Mshahara kiwango alichoonesha De Gea hata akija Simba SC hawezi kuekwa golini.. Lakini subiri apewe mshahara anaoutaka pale Man U atie saini Mkataba mpya uone mziki wake! Kepa lazima awe mpenzi Mtazamaji kwenye Benchi.
Mimi naona kwa sasa hatufai aendelee kujifunza hapo Derby
Kepa kumpiku rasmi De Gea kama golie no 1 kwa timu ya taifa ya Spain
Mechi ya ufunguzi tarehe 11 Augost tunakipiga na Man U. Lazima tuwalaze
Sun Aug 11 | Manchester United | Away |
Sat Aug 17 | Leicester City | Home |
Sat Aug 24 | Norwich City | Away |
Sat Aug 31 | Sheffield United | Home |
Sat Sep 14 | Wolverhampton Wanderers | Away |
Sat Sep 21 | Liverpool | Home |
Sat Sep 28 | Brighton and Hove Albion | Home |
Sat Oct 5 | Southampton | Away |
Sat Oct 19 | Newcastle United | Home |
Sat Oct 26 | Burnley | Away |
Sat Nov 2 | Watford | Away |
Sat Nov 9 | Crystal Palace | Home |
Sat Nov 23 | Manchester City | Away |
Sat Nov 30 | West Ham United | Home |
Wed Dec 4 | Aston Villa | Home |
Sat Dec 7 | Everton | Away |
Sat Dec 14 | Bournemouth | Home |
Sat Dec 21 | Tottenham Hotspur | Away |
Thu Dec 26 | Southampton | Home |
Sat Dec 28 | Arsenal | Away |
Wed Jan 1 | Brighton and Hove Albion | Away |
Sat Jan 11 | Burnley | Home |
Sat Jan 18 | Newcastle United | Away |
Wed Jan 22 | Arsenal | Home |
Sat Feb 1 | Leicester City | Away |
Match to be played Sat Feb 8 or Sat 15 Feb | Manchester United | Home |
Sat Feb 22 | Tottenham Hotspur | Home |
Sat Feb 29 | Bournemouth | Away |
Sat Mar 7 | Everton | Home |
Sat Mar 14 | Aston Villa | Away |
Sat Mar 21 | Manchester City | Home |
Sat Apr 4 | West Ham United | Away |
Sat Apr 11 | Watford | Home |
Sat Apr 18 | Crystal Palace | Away |
Sat Apr 25 | Sheffield United | Away |
Sat May 2 | Norwich City | Home |
Sat May 9 | Liverpool | Away |
Sun May 17 | Wolverhampton Wanderers | Home |
Naona wananunua makinda kujenda teamMechi ya ufunguzi tarehe 11 Augost tunakipiga na Man U. Lazima tuwalaze
Ndo njia tuliyonayo msimu huu lakini pia yanaweza kuwa maandalizi kwa ajili ya Lampard.Naona wananunua makinda kujenda team
Tutawala nyingi sana.. hakuna namnaMechi ya ufunguzi tarehe 11 Augost tunakipiga na Man U. Lazima tuwalaze