Uyu Sarri mpumbavu kweli.. anataka kuondoka na Emerson na mtoto wake Joghihno. Ni bora asepe na uyo Joghihno, Emerson beki la kazi lile...
Hii taarifa umeipata wapi?
Sarri hatamtaka Jorginho kwa sababu alishamwambia akikubali kazi ya Juve ni kama betrayal kwa Mashabiki wa Napoli
Na yeye akienda huko itakuwa sio tu betrayal bali unafiki
Anyway, kwa sasa Chelsea inamhitaji Jorginho kuliko Jorginho anavyohitaji Chelsea. Chelsea wakimuuza hata Alonso watakuwa ni wapumbavu kabisa
 
Sarri akiiacha Chelsea kipindi hiki kigumu atakuwa sio Loyal coach na itamuharibia CV yake huko mbeleni. Tena inakuwa mbaya Zaidi anajua timu iko kwenye ban halafu anataka kutoka na wachezaji waliosajiliwa ambao ndio tegemeo pekee kwa Chelsea
 
Sarri siyo Loyal !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Yale matusi muliokua mukimmiminia mumeyasahau mkuu?
 
Poleni sana, Sifikiri kama atawaacha kabisa, Na wote hawataki kukaa. Labda muwabane na kuwalazimisha kwa mikataba yao.
 
Kaisaidia Juve kuchukua ubingwa pia kaisaidia timu yake taifa ya taifa kuchukua ubingwa. Anastahilia kuwemo top five ya Ballon d'or

Je mbappe hajaisaidia PSG kuchukua ubingwa? Je Lewandoski hajaisaidia Buyern kuchukua ubingwa? na kubwa zaidi wao wamemaliza wakiwa ni matop score kwenye ligi zao pamoja na kila mmoja kupiga 40 goals a season. ambapo Ronaldo ameshindwa hata kufika 30. Hivi mkuu unalinganisha nini hapo?

Na ubingwa gani unaouzungumza? zile NL ni friendlies tu mkuu, kama ulikua unazitizama vizuri timu za Italy, Spain, Germany zilikua zinabadilisha vikosi kila mechi kwa ajili ya kujaribia wachezaji. sio big competition kabisa. Yani zile Qualifying zinamater zaidi ya zile. Ushawahi ona mchezaji anagombea uchezaji bora huku akihesabiwa mafanikio ya Fifa Confederation Cup? na bado Fifa Confederation Cup ni kombe kubwa sana ukilinganisha na NL.

Na kwa kukusaidia zaidi tu ni kuwa Bernad Silva ndie aliechaguliwa kuwa mchezaji Bora wahiyo NL. kwahiyo yeye ndie mweyne credit kubwa zaidi ya mafanikio ya timu tena bila ya chenga. Ronaldo amecheza mechi 2 tu kwenye 6. watu wameanza nazo mwanzo mpaka ubingwa.
 
Katika top five yangu wa kwanza kumtaja alikua Silva. Nimemjumisha na Ronaldo kwa sababu hao wengine hawajafanya chochote timu zao za taifa jwa hiyo juhudi zao zimeishia kwenye club zao tu. National League nimeifuatilia sana hata Portugal yenyewe Ronaldo kaanza kuitwa nafikiri walipoingia semi finals, kwa hiyo usidhani ni hizo timu pekee ndio zilikua hazipeleki wachezaji konki.

Wewe ukichangiaga you do not use your brain correctly. no reasoning, no logic no ethics.
Kocha yeyote anatukanwa especially kwa klabu zenye njaa ya makombe. Yeye sio wa kwanza. Kocha kama professional leader akatukanwa kwa sababu ya wajibu wako haiondoi yeye kuwa Loyal.
Rais anatukanwa halafu anaibetray nchi. Director anatukanwa halafu anaibetray kampuni. Baba anatukanwa halafu anaibetray familia. What kind of a person are you?
Klopp katukanwa mara nyingi mbona hajakimbia!!!
EPL na kwingineko makocha wanatukanwa mara ngapi mpaka wanatimuliwa
MOU katimuliwa mara ngapi na alipoitwa akarudi!
 
Huyo Dos.2020 namfuatiliaga unaonakabisa wazo lake halikufanyiwa uhakiki kabla ya kutumia keyboard. Yaani mashindano ya UNL yenye gharama, muda mrefu mchakato wa timu 55 za Taifa mapaka kuchukua ubingwa halafu iwe nothing na kumlinganisha na Mbape ambaye kaishia tu kwenye title ya weak league.
 
Na sababu kuu yakua hazipeleki wachezaji konki ni kua si ligi yenye uzito wowote. Ni grade B competition. Ni kama vile kombe la Chan kwa Africa. Hata Africa Cup inauzito mkubwa sana ukilinganisha nahiyo NL.
Silva, Messi, Aguero, Mane, Salah, VVD, Mbape, Lewandoski, Alison hawa wote wana deserve better postion than Ronaldo. huo ndio uhalisia. kinyume a hapo ni uendelezo wa siasa huko Ulaya.
 
Weak league unazungumza wewe. Lakini kulingana na rank za UEFA. Point za French league na za ligi ya PL ni sawa sawa. kwahiyo ukifunga goli 20 PL na ukifunga goi 20 French League zote ni sawa.
 
Wewe ukichangiaga you do not use your brain correctly. no reasoning, no logic no ethics.
Kocha yeyote anatukanwa especially kwa klabu zenye njaa ya makombe. Yeye sio wa kwanza. Kocha kama professional leader akatukanwa kwa sababu ya wajibu wako haiondoi yeye kuwa Loyal.
Rais anatukanwa halafu anaibetray nchi. Director anatukanwa halafu anaibetray kampuni. Baba anatukanwa halafu anaibetray familia. What kind of a person are you?
Klopp katukanwa mara nyingi mbona hajakimbia!!!
EPL na kwingineko makocha wanatukanwa mara ngapi mpaka wanatimuliwa
MOU katimuliwa mara ngapi na alipoitwa akarudi!

Sarri kawapata aisee, Karusha fimbo ndipo kabisa.
Chelsea ingelifungwa na Arsenal basi Sarri angelitimuliwa, sasa ikiwao wao walishaonesha wazi kutokua loyal kwake kwanini yeye awe loyal? ni timu ya baba ake ile?
Alifikia karibu mara mbili kutaka kutimuliwa katikati ya ligi huo ni Uloyal?
Mashabiki wa Chelsea na mashabiki wasiojielewa nini hasa wanataka, shida yote inakuja pale kuanza kushinda makombe ukubwani.
 
Na sababu kuu yakua hazipeleki wachezaji konki ni kua si ligi yenye uzito wowote. Ni grade B competition. Ni kama vile kombe la Chan kwa Africa. Hata Africa Cup inauzito mkubwa sana ukilinganisha nahiyo NL.
Silva, Messi, Aguero, Mane, Salah, VVD, Mbape, Lewandoski, Alison hawa wote wana deserve better postion than Ronaldo. huo ndio uhalisia. kinyume a hapo ni uendelezo wa siasa huko Ulaya.
I just hope that mtu kama wewe hatakuwepo kwenye voting panel
Ni VVD tu na CR7 ndio wenye added credits, hao wengine mniambie credits zao zinapatikanaje, Silva ni mzuri ila hana credits za kumuweka juu,
Messi, Aguero, Mane, Salah, Mbape, Lewandoski, Alison hawana cha ziada, wanaweza kuwa kwenye lists lakini top 5 no labda watoe rushwa
 
Naomba kujua hizo credit za Ronaldo zinazo mfanya awe juu ya wote hao wengine
 
I just hope that mtu kama wewe hatakuwepo kwenye voting panel
Ni VVD tu na CR7 ndio wenye added credits, hao wengine mniambie credits zao zinapatikanaje, Silva ni mzuri ila hana credits za kumuweka juu,
Messi, Aguero, Mane, Salah, Mbape, Lewandoski, Alison hawana cha ziada, wanaweza kuwa kwenye lists lakini top 5 no labda watoe rushwa

Brother una mu-underestimate sana Messi
 
Hii taarifa umeipata wapi?
Sarri hatamtaka Jorginho kwa sababu alishamwambia akikubali kazi ya Juve ni kama betrayal kwa Mashabiki wa Napoli
Na yeye akienda huko itakuwa sio tu betrayal bali unafiki
Anyway, kwa sasa Chelsea inamhitaji Jorginho kuliko Jorginho anavyohitaji Chelsea. Chelsea wakimuuza hata Alonso watakuwa ni wapumbavu kabisa
Nilisikia radio mawingu wakijadili ilo suala na pamoja na Peter Cerch keshakabidhiwa u DOF
 
Sarri akiiacha Chelsea kipindi hiki kigumu atakuwa sio Loyal coach na itamuharibia CV yake huko mbeleni. Tena inakuwa mbaya Zaidi anajua timu iko kwenye ban halafu anataka kutoka na wachezaji waliosajiliwa ambao ndio tegemeo pekee kwa Chelsea
Ndo upumbavu Sarri anataka kufanya.. Yani anataka kusepa na Alonso au Emerson na mtoto wake Joghihno
 
Back
Top Bottom