Nanukuu "Acha uzuzu"
Kwanini uanze na Personal attack?
Kulikuwa na umuhimu wa kufanya hivyo?
Je hujui kuwa hiyo ni dalili ya udhaifu kwenye kujibu hoja?
Nadhani bado una mawazo ya Kizamani kuwa DM kaziyake ni kukaba tu kama tulivyokaririshwa kuwa kazi ya RB na LB ni kukaba.
Kama DM wengine wana assist na kuscore basi huyu asiye assist na Kuscore hawezi kuwa bora.
Kumbuka kuwa hata Macentre Backs sikuhizi ni Wafungaji wazuri tu.
Halafu nadhani hufuatilii Anavyocheza kwenye time yenu! Kama kigezo pekee cha DM ni kukaba basi huyu Ameshakosa sifa ya ubora kwani Hajui Kukaba hata kidogo na washabiki wenzako wanalijua hilo.
Yupo vizuri kwenye Kupiga pasi (Sideway & Backward) tu.
Kwenye kukaba ni Sifuri that's why mumeconcede migoli kibao
Lakwanza ufahamu ni kuwa Jorginho hachezi Dm bali anacheza CM. na Cm kazi yake sikukaba. Jorginho ni deep laying player maker nahio ndio kazi yake kuu. Kazi ya kukaba ni kazi ya Kante ambaye ancheza covering. kuufahamu football inataka kazi kidogo fungua bongo lako mkuu. Na licha ya yote hayo bado Statistic zinaonesha bado Jorginho yupo juu hata kwenye kuzuia. hebu zitizame vizuri. Na pia yeye ndie aneongoza kupiga pasi nyingi ndani ya PL msimu mzima.