Gonzalo kaja juzi tu kafunga Mara 5

MPE heshima yake mkuu
Ila kwa upande mwingine Gonzalo anaweza kuwa prospect bora Zaidi ya Giroud kwa sababu moja tu, yeye ni mgeni kwa EPL na Giroud ni mwenyeji tangu Arsenal na hana improvement kwenye scoring, Assuption ni kwamba Higuaín mwaka kesho anaweza kufikisha hata 20 goals na hayo magoli ni muhimu sana kubakia top 4 maana kama ban itaendelea kuwepo sidhani kama tutaweza unda timu ya kuwania ubingwa. Ila kama ban itaondolewa, waondoke wote waletwe wafunga wa kiukweli. Pia Michy arudishwe awe naye wana compete
 
michy maji kupwa maji kujaa
 
Baada ya final za Europa league ataenda madrid
Infact Europa na EPL ni ligi mbili tofauti, na ndio maana pamoja na kuchezesha timu B Chelsea wamefanya vizuri. Giroud EPL imemshindwa kabisa, anstahili kucheza Ligue one au zinazofanana na hizo ligi, EPL ni mziki mwingine bana
 
PLAYERS

Kepa Arrizabalaga
1
7.8

(c) César Azpilicueta
28
6.5

Andreas Christensen
27
6.5

David Luiz
30
8.0

Emerson Palmieri
33
7.0

Mateo Kovačić
17
6.8

Jorginho
5
7.3

Ruben Loftus-Cheek
12
7.1

Willian
22
6.9

Olivier Giroud
18
7.2

Eden Ha

hivi hiki ndio kikosi chenu cha pili au timu B eti eeeh?sasa naomba weka hapa kikosi chenu cha wachezaji wa timu A kama hujarudia haohao kwa 95% yaani timu hii akikosekana kante tu ishakuwa B........hahahahahahaha mnachekesha nyie,timu B katika michuano hii alikuwa anawekaga WENGER tu
 
Confirmed !! Billion 258 Hazard kutoka Chelsea kwenda Madrid - hili litatangazwa rasmi baada ya fainali ya Europa. Tunakutakia safari njema Madrid.
 
David luiz in Boston
rockyziegler4dl_4___BxcC0OVgCYg___.jpg
 
Assist?
Goal?

Ili to prove ubora wake

Najuwa anacheza DM lakini huko hakuondoshi kuwa asifunge na kuassist wakati wenzake mpaka CBs wanafunga na kuassist.

Washajitokeza. Acha uzuzu msela uo. Sasa DM anahusika vipi na mambo ya assist na goals? Kinachotakiwa hapo ni kutizama majukumu ya position yake.
 
Washajitokeza. Acha uzuzu msela uo. Sasa DM anahusika vipi na mambo ya assist na goals? Kinachotakiwa hapo ni kutizama majukumu ya position yake.

Nanukuu "Acha uzuzu"

Kwanini uanze na Personal attack?
Kulikuwa na umuhimu wa kufanya hivyo?
Je hujui kuwa hiyo ni dalili ya udhaifu kwenye kujibu hoja?

Nadhani bado una mawazo ya Kizamani kuwa DM kaziyake ni kukaba tu kama tulivyokaririshwa kuwa kazi ya RB na LB ni kukaba.

Kama DM wengine wana assist na kuscore basi huyu asiye assist na Kuscore hawezi kuwa bora.

Kumbuka kuwa hata Macentre Backs sikuhizi ni Wafungaji wazuri tu.

Halafu nadhani hufuatilii Anavyocheza kwenye time yenu! Kama kigezo pekee cha DM ni kukaba basi huyu Ameshakosa sifa ya ubora kwani Hajui Kukaba hata kidogo na washabiki wenzako wanalijua hilo.

Yupo vizuri kwenye Kupiga pasi (Sideway & Backward) tu.

Kwenye kukaba ni Sifuri that's why mumeconcede migoli kibao
 
153 Reactions
Reply
Back
Top Bottom