HABARI ZILIZONIFIKIA HIVI PUNDE..
Ndugu mwanajf mwenzetu Ollachuga Oc tangu jana hali yake ni mbaya.. Alipata mshtuko wa moyo hiyo jana na kukimbizwa hospitali ya Mount MERU.. Hadi sasa hali yake haijatengamaa, madaktari wanafanya kumuhamishia hospitali ya rufaa ya KCMC..

Maombi na dua zenu ni muhimu kwa kipindi hichi kigumu kwake...
Kuna huyu mngine anajiita eden kimario sijui yuko wapi
 
Salamu kutoka OT.
Tunapenda kuwataarifu kwamba,hata ikitokea bahati mbaya MUFC ikafungwa basi hiyo haitafuta ukweli kwamba mlibomolewabomolewa na kubugizwa goli sita kwa yai.

Asanteni.
 
Sarri ameshaweka historia ya Stamford Bridge kwa Upande wa makocha
Hata kama kocha anatakiwa kupewa muda wa kuingiza mfumo wake kwa wachezaji lakini asipewe muda wa dozi 4, 6, 8, 10, 12 ….HII HAIKUBALIKI
Kwani timu ngapi zina makocha wapya

1549956922709.png

Ukiondoa Huddersfield Town sidhani kama kuna kocha kati ya hao wapya wanafungwa kijinga hivi na bado kuna mafundi wa mpiura wanasema apewe muda. Mapaka afe fan mmoja ndio afukuzwe.
Pep alikaa mwaka mzima lakini mwaka wake wa kwanza Man City ilimaliza ya nne
Conte kaichukua Chelse pabaya mwaka wake wa kwanza kombe, ndivyo tulivyozoea
 
Attachments

  • 1549956608431.png
    1549956608431.png
    11.1 KB · Views: 19
  • 1549957039799.png
    1549957039799.png
    1.5 KB · Views: 18
Hao wamejiandaa kufufuka kama MUFC ikipoteza leo, utamuona hata Ollachuga Oc akipiga chafya,mbali na hapo hutowaona humu.
Hivi Kuna mtu anataarifa yeyote ya huyu Ollachuga Oc, maaana nivizuri kukiwa tunajuliana khari aiseeeeeeee Ni zaidi ya masaa 40 sasa hakuna dalili yoyote kama yuko salama au la....
Hata kama kapata kipigo kizoto ili hata ajingisha TU au awe Kama anajikuna hivi(akomenti hata kwa emoji) tujuwe yuko HAI.........
we are worried about him a fellow jf member......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo bwana alipigwa na kitu kizito mno katika kichwa chake na kijana aliyefahamika kwa jina moja la Agüero.

Matokeo ya leo ya MUFC yanaweza kumpa ahueni au kummaliza kabisa.
 
Hivi Kuna mtu anataarifa yeyote ya huyu Ollachuga Oc, maaana nivizuri kukiwa tunajuliana khari aiseeeeeeee Ni zaidi ya masaa 40 sasa hakuna dalili yoyote kama yuko salama au la....
Hata kama kapata kipigo kizoto ili hata ajingisha TU au awe Kama anajikuna hivi(akomenti hata kwa emoji) tujuwe yuko HAI.........
we are worried about him a fellow jf member......

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa yangu hakawiagi kujiteka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom