msomi uchwara
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 4,203
- 7,719
Kuna huyu mngine anajiita eden kimario sijui yuko wapiHABARI ZILIZONIFIKIA HIVI PUNDE..
Ndugu mwanajf mwenzetu Ollachuga Oc tangu jana hali yake ni mbaya.. Alipata mshtuko wa moyo hiyo jana na kukimbizwa hospitali ya Mount MERU.. Hadi sasa hali yake haijatengamaa, madaktari wanafanya kumuhamishia hospitali ya rufaa ya KCMC..
Maombi na dua zenu ni muhimu kwa kipindi hichi kigumu kwake...